Pre GE2025 Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naondoka kesho jioni na Air Tanzania tayari kwa maandamano.

Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.
 
Kaeni Mzungumze msivunje Amani
Unatambua kabisa ni haki ya watanzania kuandamana na wana sababu ya msingi lakini kwa sababu flani akili yako bado ipo nusu na unafumbia macho ukweli wa mambo. Hayo ndio maajabu ya watanzania na waafrika kwa ujumla.
 
Naondoka kesho jioni na Air Tanzania tayari kwa maandamano.

Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.
Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanahangaika na mafuriko, nyumba zimesombwa, magari yamesombwa, barabara zimebomolewa, madaraja yameng'olewa, na watu kuachiwa uharibifu mkubwa, nyie bado mnataka kuwapigia kelele na habari ya maandamano? Nyie chadema hmna utu!
 
Sijui tulimkosea Nini Mungu kama yupo ... Na anashindwaje kuyaona makosa ya Hawa wanaoutuongoza ...hivi Mungu yupo!?? ... Bora ningebaki Bulgaria tu kmmmk...... Nchi ya hovyo sana hiiiii..
 
Naondoka kesho jioni na Air Tanzania tayari kwa maandamano.

Askofu Malasusa tunajua ni mwajiriwa wa TISS,yupo pale kimkakati tunamtaka avue Kanzu ya uaskofu akabidhiwe shati la kijani.
Kila shetani na mbuyu wake, unalia na Malasusa,yule analia na umeme naye huyu analilia nafasi mbili za wabunge kwa jimbo moja.

Unganisheni vilio vyenu alphabetically ili viwe na maana badala ya makelele,vilio gani hivyo havina mpangilio wa sauti,muimbishaji anaimbishia akiwa kwake, mpiga gitaa anachanganya nyuzi,wa kinanda ndo basi tena. Looh!
 
Mkakodi watoto wa Palestina hawaogopi. Lkn hawa wakisikia Honda imepasuka mpira tu wote wanajitia mivugunguni. Au nasema uongo wadau?
 
TUTAANDAMANA KWA AMANI YULE QLIETANGAZA USAFI SIKU HIYO TUTAMSAIDIA USAFI LITAKUA MOJA YA MAJUKUMU YETU SIKU HIYO
Wengine tutaanza usssikku.., tutaanza usssikku tena usiku wa manannnaneee....

Punguza bange ahahhaha
 
Magari ya matangazo yakiwa tayari kuingia katika mitaa ya jiji la Da es salaam kufanya matangazo juu ya maandamano ya amani Januari 24, 2024.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…