Pre GE2025 Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tayari Magari ya Matangazo ya Chadema ya kuhamasisha Maandamano ya Amani yameingia barabarani .

Habari njema zinadokeza kwamba Jeshi la Polisi limepokea Taarifa ya maandamano hayo Makubwa kuliko yote yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania

Zaidi jionee mwenyewe

 
CCM walikua na hali ngumu kuhusu kuzuia/kuruhusu haya maandamano.
Kwa kifupi, they were damned if they do, damned if they dont.

Mwisho wa siku it seems wameona demage ya kuyazuia ni kubwa zaidi kuliko kuyaruhusu.

Kila la heri kwa Chadema na watanzania wote mtakaoshiriki.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
 
Vile vyama shikizi ikiwemo Eisitii ya zitto junior vitashiriki?
 
Ccm kwa Sasa hawana tena ubavu wa kushindana na CDM kwenye masuala ya msingi.

Wao wanajivunia maguvu wakati sisi tunajuvunia akili kichwani.
 
Sio habari, sema una force,
labda Hasimu Rungwe akiahamia CCM ndo itakuwa hot news!
 
Ni haki yake
 
Mm nitaandamana Hapa Happ naomba kuwepo live update Uzi wa kutoa yaanyojiriii ktk mansamano hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…