Pre GE2025 Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nawaomba wana JF mwenye uelewa wa wapi alipo ndugu yetu huyu.

Namuomba mh IGP ikimpendeza basi ampangie huyu kaka yetu kazi ya kulinda maandamano ya CHADEMA hapo kesho...
Huyo mhisani wiki hii anasababisha vurugu jukwaani!
 
Mungu asimame nasi waTanzania hali ni mbaya sana serikali ielezwe ukweli
 

Kuna kila dalili kuwa Serikali ina mpango wa kuzuia maandano dakika za mwisho ...... Mark my words!!
 
Kuna kila dalili kuwa Serikali ina mpango wa kuzuia maandano dakika za mwisho ...... Mark my words!!

Kwa nini usifikirie kwamba maandamano ni mpango wa pamoja kati ya CCM na waramba asali wa upinzani kutaka kuuonesha ulimwengu kwamba TZ kuna demekrasia ili Bi Maza aonekane ni mstaarabu kuliko Yule "Kiongozi wa Malaika"??
 
Kwa mlio Dar es Salaam, Vipi wanajeshi wanafanya usafi wa leo?
 
Natoa ushauri kwa waandamanaji kabla hujaandamana omba vitu 3
1- BIMA YA AFYA
Maaandamano yana athari kubwa ikiwemo kilema; kupoteza maisha jitahidini mpate Bima ya Afya
2: POSHO
Chadema wamekusanya hela nyingi bajeti kila muandamanaji sh 850;000
3-Ahadi baada ya maandamano
Je chadema wamekuhakishia kutunza familia yako ukipata kilema au kupoteza maisha
 

Ni maandamano ya AMANI ... kama mna mpango wenu mwingine semeni. Nyinyi mtakaowatia vilema Watanzania ndiyo wahalifu wenyewe. Kama damu za Watanzania itamwagika Maza basi itabidi Maza avunje ile safari yake ya Vatcan ..... Haiwezekani aende Vatcan wakati mikono yake imelowa damu......!!
 
Na barua ya mwenyekiti wa mtaa kwa ajili ya dhamana, maana lazima ukamatwe.

Wenyeviti wa mitaa nchi nzima wawagomee kuwaandikia hizo barua za dhamana.
 
Ccm mmewakatia wangapi bima za afya? tunaona huko moshi makonda anaandamana.

Nchimbi yuko mikoani watu wanasukuma na magari. Mmewakatia bima za shilingi ngapi?

Watu na viroboto wa ccm km ww hamhitaji bima?

Propaganda za kitoto sana. Zilizopitwa na wakati.
 
tegeni masikio yenu kuanzia usiku huu au mapema kesho asubuhi lipo jambo kwani cognizant sijawahi kuhisi jambo halafu lisitokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…