Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Kuhamia kwako juzi Zanzibar na wewe unajifanya unauchungu na Zanzibar..

Nusu za familia za Zanzibar zimechanganya na Warabu au Wahindi, Hata huyo mwanamapinduzi Karume aliamua kuoa Mwarabu sio yeye tu nusu ya cabinet yake ilioowa Warabu

Wewe Mkimbizi, huna hata generation moja hapo Zanzibar umekuwa na uchungu na Zanzibar, Wacheni wazanzibar waamue hatma yao.
Zanzibar was and will always a be a country of Black Africans

Omanis walizkowa Colonisers and thats a fact

Zanzibar inayo watu waliochanganya Damu and majority are Black Africans

Omanis should let us be and hatutaki interference in our internal affairs

we can always have good relations (G2G) and (P2P) lakini mahusiano yawe based on mutual respect
 
Kuhamia kwako juzi Zanzibar na wewe unajifanya unauchungu na Zanzibar..

Nusu za familia za Zanzibar zimechanganya na Warabu au Wahindi, Hata huyo mwanamapinduzi Karume aliamua kuoa Mwarabu sio yeye tu nusu ya cabinet yake ilioowa Warabu

Wewe Mkimbizi, huna hata generation moja hapo Zanzibar umekuwa na uchungu na Zanzibar, Wacheni wazanzibar waamue hatma yao.
Majority of Zanzibaris are BLACK Africans
Thats a fact
 
Ukiangalia waswahili unagundua hizo nguo wamevalishwa kwa ajili ya picha.angalia wanavyojishanga na huyo mwingine anatamani hata viatu vya huyo mwarabu.

Watumwa wa kiswahili wamevalishwa nguo hizo kama waarabu ili wawe wanyampala nao wanajiona kama waarabu.

Hii inaitwa SLAVE MENTALITY ambayo baadhi ya posters wanayo humu

Nimewauliza hawa wanaotetea hawa Waarabu kuwa, kabla ya kuja hawa waarabu, Zanzibar kulikuwa na nani wameshindwa kujua

Fact remains, tunatatizo kubwa sana la Slave mentality bro
 
Tatizo hapa la mchanganyiko wa waafrika na waarabu kubaguana,limetoka Tanganyika,
Wazanzibari wenyewe hawalijuwi hilo,ndo maana wanaodai kuulinda Muungano kwa nguvu ni Watanganyika ,
Waenezaji wakubwa wa propaganda ya Utumwa na ukatili wa waarabu ni Watanganyika,
Huku zanzibar hata baada ya mapinduzi kuwisha, waarabu walishirikishwa kwenye shughuli mbali mbali za kinchi,na walitambulika kuwa ni wazanzibar bila ya kuwabagua KARUME HAKUENDEKEZA SANA UBAGUZI ,Lakini kuna Watu wenye asili ya kutoka Tanganyika ndo walikuwa wakileta madhara ya ubaguzi hadi hivi leo.
Sijui kama Munajuwa kuwa Katibu wa ASP alikuwa Mwarabu?
Zanzibar ilikuwa marufuku kusomesha somo la historia hasa ile ya Utumwa na kurudisha machungu.
Ni Tanganyika ndowalotuletea miaka ya karibuni somo hilo, wametuletea Habari hizi ili Kueneza chuki ili wao watimize mradi wa wao wa 'DIVIDE AND RULE'
KUHUSU OMAN KUSAIDIA ZANZIBA
Omani Ilitaka kuijenga Bandari Kubwa ya Zanzibar hivikaribuni lakini Tanganyika imekataa kuidhinisha Mradi Huo.
Nadhani haya yako wazi,Lilisemwa dani ya baraza la wawakilishi ,
Bora niache tuu
lakini Omani haina interest yoyote ya kuja kutawala Zanzibar,kwani hawana sababu,wala hakuna cha kuwavutia hapa,ila wao wanatuhurumia sisi kwa kuwa ni Ndu zao wa damu na walitamani na sisi tuwe na Neema kama wao lakini Tanganyika Inaweka Kauzibe.
Semeni ukweli musitafute kichaka cha Utumwa na Uarabu.Muna lengo gani na Zanzibar?
Historia Ilikwisha zamani Mataifa yote duniani yana sehemu ya Historia Mbaya,Lakini Kioja ni hii ya Zanzibar tuu.?
Ila iwe Dhambi Zanzibar tuu kushirikishwa Utawala mtu mwenye damu tuu ya Kiarabu?
Semeni Agengda yenu?
Hata Huyo Karume alijiolea Chotara wa Kiarabu na Kihindi ili kuondoa Fitna,
Lakini watanganyika ado tuu kila uchao wanatuchonganisha Wazanzibari ili tuozane.
Namkumbuka Myere aliposema Kuna Upemba Na Uunguja, Yeye alikuwa wa kwanza kulisema neno lile.Hatimae Salimini akaendesha siasa za Kibagizi kwa kuwatowa watu kazini kwa Mfano ule wa Nyerer.
Tena Mkapa akasema Machotara hapa si kwao,Wakome vijukuu vya Masultani, Picha ndo hiyo hapo juu uchaguzi ulopita.
Sijawahipo kumsikia Dr.Sheni kutowa kauli za kibaguzi ,wala Mzee Mwinyi Wala Mzee Wkili, Wala Jumbe,
Semeni Ukweli wenu Watanganyika Muna Aajenda ya Siri!
Acheni Ubaya huooooooo.
Waznzibari ni Watu mchanganyiko wa damu za kishirazi,ki Afrika, kiarabu ,Kichina,na Kihindi wenyewe tunajuwana wala hatubaguani,Tuna sali pamoja,tunaowana,tunafanya shughuli zetu zote pamoja bila ya Bughudha, na hili ndo lilikuwa lengo kuu la Mapinduzi kama hamujuwi.
lakini Watanganyika Mumetushika, Hebu tuacheni Tupumue.
Mbona husemi ukweli wote?

Omani walitaka kujenga Bandari zanzibar lakini collateral ya loan yao waliyotaka wapewe ni kambi zetu za Jeshi....!

Wazim mtupu

Why do you think we went to Indonesians for that loan?
 
Hata sijui kwanini Znz ina raisi. Mmi nikowa raisi wa Tanzania, znz itakuwa na governor kama dar es salaam.
 
Asante kwa hii. Sisi Tanzania tulidhani Waarabu wa Zanzibar ni walalamishi, kumbe sio kosa lao bali ni asili yao Oman.

Nimeisoma hiyo makala ya kizungu, naomba nichangie kizungu, kama makala yenyewe
It's good to know that this controversial area of Omani history about the involvement of Oman Arabs in Zanzibar slave trade, is not only, not widely taught in Omani schools, because slavery is “completely absent from Omani textbooks”, but also, the Arabs in Zanzibar, denies, the involvement of Arabs in Zanzibar slave trade, they claim that slave trade in Zanzibar was done by Indians traders are the ones “financed the trade” and Africans “provided the slaves”, so Arabs are not to blame!. The Arabs in Zanzibar, dismiss the 1964 Zanzibar revolution calling it "genocide against Arabs" therefore they are still bitter till todate.
The best way forward to heal the scars of1964 Zanzibar revolution trauma, is the establishment of peace and reconciliation commission like the one of post apartheid South Africa led by Bishop Desmond Tutu.
P

This is rubbish. I don't believe we should bow down to these camel eaters and their likes. Our people were raped, traumatized, enslaved, bitten to death, chained etc i can go on and on. There is absolutely no space for Arabs influence in zanzibar and those who advocate such ideas should be held in contempt.
We Africans should move from this mental slavery that includes remove all colonial and arabs history from our kids text books. There is nothing greater we are learning than inferiority complex and worshiping these idols.
There is only one GOD to be held high and worshipped.
 
424ea180129b62f70e8378f2942423b6.jpg
 
Majority of Zanzibaris are BLACK Africans
Thats a fact
Hahaha, Mhamiaji wewe,..!!! illegal Alien

Majority ya Wazanzibari wamechanganya damu..

Huyo Black person unaemuona, anaweza kuwa na mjomba, au Anty, au ndugu ambae ni Mwarabu au Muhindi au Muirani au Myemen.. nk

Kwahiyo inakuwa tabu kwa MZAWA HALISI wa Zanzibar kuwafanyia Ubaguzi Wazanzibari wasio Waafrika..

Watu kama nyingi Wageni ambao hamna hata GENERATION moja Zanzibari ndio mnakuwa na kauli za KIBAGUZI

Hao Masultani walikuwa wengine weusi, wengine Warabu, wengine machotara. nk

Picha chini ni Sultan Ali bin Hamud Sultan wa 13 Zanzibar, Yani ni babu wa babu babu yake Jamshid aliepinduliwa 1964..
Mwangalie vizuri Je alikuwa mwarabu??
IMG_20191205_073914.jpg
Zanz-Ali_II.jpg
 
This is rubbish. I don't believe we should bow down to these camel eaters and their likes. Our people were raped, traumatized, enslaved, bitten to death, chained etc i can go on and on. There is absolutely no space for Arabs influence in zanzibar and those who advocate such ideas should be held in contempt.
We Africans should move from this mental slavery that includes remove all colonial and arabs history from our kids text books. There is nothing greater we are learning than inferiority complex and worshiping these idols.
There is only one GOD to be held high and worshipped.
Please write the language that majority can understand.

No one was beaten or abused, as matter of fact all Zanzibari had equal opportunity, black, red, white they were all lived together in peace and harmony, until you came with your crazy genocide idea that killed hundreds of Zanzibaris

Higher ranking people like Ali Hassan Mwinyi, Aboud Jumbe Mwinyi all got their higher education during Sultan era,equal right and opportunity to all..

Bado mpaka karne hii mnakuja na propaganda za KIBAGUZI, za kufanya watu wachukiane, ukweli probaganda kama hizo hazitaisaidia Zanzibar wala Tanzania kwa ujumla..

Mliowauwa na kuwaafukuza nchi walikuwa sio Warabu walikuwa ndugu zetu Wazanzibari

wivu mliokuwa nao kuhusu mafanikio ya Zanzibar ndio yaliyokufanyeni muipindue Zanzibar, haya sasa Zanzibar iko wapi? Ufukara kila kona

Tunamtaka mjukuu wa ndugu yetu Sultan Ali bin Hamud areje Zanzibar, tuishi kama zamani, "Zanzibar njema atakae aje"..

View attachment 1283228View attachment 1283229

Bro kama mnataka kufanya hilo? Halitaaka kuwezekana mpaka mwisho wa dunia hij aliyeumba Mwenyezi Mungu.
 
Mbona husemi ukweli wote?

Omani walitaka kujenga Bandari zanzibar lakini collateral ya loan yao waliyotaka wapewe ni kambi zetu za Jeshi....!

Wazim mtupu

Why do you think we went to Indonesians for that loan?
Serikali ya Zanzibar ilishakubaliana na masharti yaliyowekwa,wewe huiamini SMZ kuwa na uweao wa kuingia mikataba mikubwa ya kiuwekezaji ya aina hiyo?
na wao ndo waliotoa malalamiko hayo ,sio mimi
 
Bro kama mnataka kufanya hilo? Halitaaka kuwezekana mpaka mwisho wa dunia hij aliyeumba Mwenyezi Mungu.

Nguvu ya Umma ndio itaamua, nafikiri umeona nini kimetokea 2015,ile ilikuwa wake up call,..

Tatizo kubwa mmeshindwa ku empliment,.. Wana Mapinduzi pamoja na CCM wameshindwa kuleta Maendeleo Zanzibar watu wanakufa na nja, baada ya kuleta Truth and reconciliation bado mnaleta siasa za kibaguzi.. siasa za kufarakana siasa za kuchukiana

Mimi nakataa kama Warabu walikuwa wakoloni,hayo ni mawazo yangu binafsi, na wewe una yako, sio lazima tukubaliane kila kitu

Bro, hata tusema hao Warabu walikuwa wakoloni basi tutafute njia za wao kutulipa walichochukua kutoka kwetu, tutizame wenzetu wamefanya nini, Mfano India, Japan nk.. Chuki huzaa huzaa chuki

Be wise..
 
Mbona husemi ukweli wote?

Omani walitaka kujenga Bandari zanzibar lakini collateral ya loan yao waliyotaka wapewe ni kambi zetu za Jeshi....!

Wazim mtupu

Why do you think we went to Indonesians for that loan?
Wacha kupotosha watu, eti kambi za jeshi. Ficha ujinga wako.
 
Wa Oman wanajiangaisha tu

Wakileta viroja watachapwa mara mia zaidi ya 2001

Waache mkuu. Watapata kilochompata firauni. Walishindwa wakati wa Mzee Hassan , sasa hv bahari ya hindi itakuwa nyekundu.
Hawataki Tanzania wahame nchi.!
 
Historia inasema kabla ya Sultan Saidi kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA..

Kabla ya Sultan Said kuamua kuhamia Zanzibar
Mkuu Chabuso, nikukuita wewe ni muongo na mrongo ukituletea urongo humu, utaniona kama nakuvunjia heshima, hivyo kukuita jina la heshima, hii hoja yako kuwa Sultan Said Seyyid Saidi kabla ya kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA!, sii kweli.

Historia ya Kilwa ni ya longi kuliko historia ya Sultan wa Zanzibar. Wenyeji wa asili wa Kilwa, ni Wabantu kama walivyo wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu. Wakati huo kilwa haikuwa kisiwa ilikiwa sehemu ya Lindi, mtawala wa Kilwa akiitwa Hassan Bin Amiri Alimuli.

Sultan wa Kilwa ni Sultan Ali Bin Hassan ambaye ni mtoto wa Sultan wa Persia aliyezaliwa baada ya mwanamke mtumwa kubwakwa na mama yake akageuzwa suriya. Watoto halisi wa Sultani huyu walimtenga huyu mtoto ndipo baba yake akamuhamishia Kilwa.

Akalinunua kitapeli eneo la Kilwa toka kwa Hassan Bin Amiri kwa bei ya kitambaa tuu cha kulizunguka eneo hilo. Mara tuu baada ya kulinunua kitapeli hilo eneo, akachimba mtaro kwenye mkondo wa bahari na kujenga ukuta. Hassan bin Amiri aliposhutuka kuwa ametapeliwa, akataka kurudisha kile kitambaa arudishiwe eneo lake, akakuta mtaro na ukuta wa mkaw, akashindwa!.

Hakuna wakati wote Sultan Said Seyyid aliishi Kilwa, ile 1832, Sultan Said Seyyid alitoka Oman straight Zanzibar kwa kupitia Lamu.

Wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu, wabantu, Waarabu ni wavamizi tuu, ila hawa Waarabu wa sasa ni Wazanzibari wazaliwa.

Waliofanya Mapinduzi ni ukoo wa Mwinyi Mkuu.

P
 
Mi nijuacho Zanzibar TV ipo toka enzi za mkoloni,
Bara TV ni miaka ya 90,
 
Back
Top Bottom