Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Kuelekea Mapinduzi 2020: Wa Omani bado wanaendelea kulalamikia wa Zanzibari

Mkuu Chabuso, nikukuita wewe ni muongo na mrongo ukituletea urongo humu, utaniona kama nakuvunjia heshima, hivyo kukuita jina la heshima, hii hoja yako kuwa Sultan Said Seyyid Saidi kabla ya kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA!, sii kweli.

Historia ya Kilwa ni ya longi kuliko historia ya Sultan wa Zanzibar. Wenyeji wa asili wa Kilwa, ni Wabantu kama walivyo wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu. Wakati huo kilwa haikuwa kisiwa ilikiwa sehemu ya Lindi, mtawala wa Kilwa akiitwa Hassan Bin Amiri Alimuli.

Sultan wa Kilwa ni Sultan Ali Bin Hassan ambaye ni mtoto wa Sultan wa Persia aliyezaliwa baada ya mwanamke mtumwa kubwakwa na mama yake akageuzwa suriya. Watoto halisi wa Sultani huyu walimtenga huyu mtoto ndipo baba yake akamuhamishia Kilwa.

Akalinunua kitapeli eneo la Kilwa toka kwa Hassan Bin Amiri kwa bei ya kitambaa tuu cha kulizunguka eneo hilo. Mara tuu baada ya kulinunua kitapeli hilo eneo, akachimba mtaro kwenye mkondo wa bahari na kujenga ukuta. Hassan bin Amiri aliposhutuka kuwa ametapeliwa, akataka kurudisha kile kitambaa arudishiwe eneo lake, akakuta mtaro na ukuta wa mkaw, akashindwa!.

Hakuna wakati wote Sultan Said Seyyid aliishi Kilwa, ile 1832, Sultan Said Seyyid alitoka Oman straight Zanzibar kwa kupitia Lamu.

Wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu, wabantu, Waarabu ni wavamizi tuu, ila hawa Waarabu wa sasa ni Wazanzibari wazaliwa.

Waliofanya Mapinduzi ni ukoo wa Mwinyi Mkuu.

P

Bro Pasco, hiyo sentesi ya mwisho naomba kusherehesha kuwa, Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe, hakumfanyi kuwa ngombe. Atabaki kuwa ni nguruwe tuuu
 
N
Mkuu Chabuso, nikukuita wewe ni muongo na mrongo ukituletea urongo humu, utaniona kama nakuvunjia heshima, hivyo kukuita jina la heshima, hii hoja yako kuwa Sultan Said Seyyid Saidi kabla ya kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA!, sii kweli.

Historia ya Kilwa ni ya longi kuliko historia ya Sultan wa Zanzibar. Wenyeji wa asili wa Kilwa, ni Wabantu kama walivyo wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu. Wakati huo kilwa haikuwa kisiwa ilikiwa sehemu ya Lindi, mtawala wa Kilwa akiitwa Hassan Bin Amiri Alimuli.

Sultan wa Kilwa ni Sultan Ali Bin Hassan ambaye ni mtoto wa Sultan wa Persia aliyezaliwa baada ya mwanamke mtumwa kubwakwa na mama yake akageuzwa suriya. Watoto halisi wa Sultani huyu walimtenga huyu mtoto ndipo baba yake akamuhamishia Kilwa.

Akalinunua kitapeli eneo la Kilwa toka kwa Hassan Bin Amiri kwa bei ya kitambaa tuu cha kulizunguka eneo hilo. Mara tuu baada ya kulinunua kitapeli hilo eneo, akachimba mtaro kwenye mkondo wa bahari na kujenga ukuta. Hassan bin Amiri aliposhutuka kuwa ametapeliwa, akataka kurudisha kile kitambaa arudishiwe eneo lake, akakuta mtaro na ukuta wa mkaw, akashindwa!.

Hakuna wakati wote Sultan Said Seyyid aliishi Kilwa, ile 1832, Sultan Said Seyyid alitoka Oman straight Zanzibar kwa kupitia Lamu.

Wenyeji asili wa Zanzibar ni Wahadimu, wabantu, Waarabu ni wavamizi tuu, ila hawa Waarabu wa sasa ni Wazanzibari wazaliwa.

Waliofanya Mapinduzi ni ukoo wa Mwinyi Mkuu.

P
Nakubaliana na wewe, lakini sifahamu uongo wangu uko wapi, hata kama Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa lakini alikuwa na himaya Kilwa,kweli Zanzibar ni ya Watu wamakabila ya pembezoni mwa Tanganyika na Kenya

Hapa Tunazungumzia Wadigo, Wazaramo, Wasegeju, Wazigua, Wayao nk, na makabila mengine ambao kila kabila lina historia ya kuja kwake Zanzibar, huo ni ukweli usiopingika..

lakini ukweli utabaki pale pale kuwa kabla Sayd Said hajahamia Zanzibar na kuifanyia Zanzibar ndio makao Makuu yake alitokea Kilwa, yaani alikuwa na himaya Kilwa,

haina maana kuwa yeye Said alikuwa anaishia Kilwa.. Hii ina maana ya kuwa alihamishia himaya yake kutoka Kilwa na kupeleka Zanzibar

Mkuu, unatakiwa ufahamu kuwa huyu Sayd Said alipata uwezo wa kumiliki Kilwa wakati wa Portgues era, yaani wakati sehemu hizo hazina mwenyewe mwenye nguvu ndie mfalme

Sayd Said alikuwa na himaya Kilwa lakini Makao Makuu yake yalikuwa Oman, hajawahi kuishi Kilwa, Alikuwa hawezi kufanya Kilwa kuwa Makao Makuu kutoa na mazingira ya wakati huo..

Sayd Said alipoitwa Zanzibar ndio aka tumia mwanya wa kuhamisha Makao Makuu yake Zanzibar, Biashara zake zila boom, Zanzibar ika boom..

Mkuu P, niite utakavyonita lakini ukweli ndio huo, Kilwa ilitawaliwa na Persian(shirazi era) 950-1277 huo ndio wakati unaouongelea wewe..

Kuna "Mahdali era" hawa walikuwa Warabu wa Yemen, hawa walitawala kuanzia 1277-mpaka walipoondolewa na Wareno..

Sasa katika huu wakati wa Wareno(Portuguese Era) ndio alipoibuka Sayd Said, na ndio wakati huu Wazanzibari walipomualika Sayd Said Zanzibar ili aje kuwasaidia kupigana na Wareno..

Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa, lakini alikuwa anawaongoza Warabu wa walikuwa wakiishi kilwa

Mkuu historia ya Kilwa ni kubwa sana,..
Matatizo yako umechanganya na kuweka kila kitu pamoja bila ya kutafautisha..

Fanya utafiti kabla hujaandika pumba,..

Be wise..
 
Historia inasema kabla ya Sultan Saidi kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA..

Kabla ya Sultan Said kuamua kuhamia Zanzibar

Nakubaliana na wewe, lakini sifahamu uongo wangu uko wapi, hata kama Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa,

lakini ukweli utabaki pale pale kuwa kabla Sayd Said hajahamia Zanzibar alitokea Kilwa, yaani alikuwa na himaya Kilwa

Sayd Said alikuwa na himaya Kilwa lakini hajawahi kuishi Kilwa,

Mkuu P, niite utakavyonita lakini ukweli ndio huo, Kilwa ilitawaliwa na Persian(shirazi era) 950-1277 huo ndio wakati unaouongelea wewe..

Kuna "Mahdali era" hawa walikuwa Warabu wa Yemen, hawa walitawala kuanzia 1277-mpaka walipoondolewa na Wareno..

Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa, lakini alikuwa na himaya Kilwa, alikuwa anawaongoza Warabu wa kilwa

Mkuu historia ya Kilwa ni kubwa sana,..
Matatizo yako umechanganya na kuweka kila kitu pamoja bila ya kutafautisha..

Fanya utafiti kabla hujaandika pumba,..

Be wise..
Mkuu Chabuso, kama sentence hizi ...
  1. Historia inasema kabla ya Sultan Saidi kuhamia Zanzibar makaazi yake yalikuwa KILWA
  2. Nakubaliana na wewe, lakini sifahamu uongo wangu uko wapi, hata kama Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa.
  3. ukweli utabaki pale pale kuwa kabla Sayd Said hajahamia Zanzibar alitokea Kilwa, yaani alikuwa na himaya Kilwa
  4. Sayd Said alikuwa na himaya Kilwa lakini hajawahi kuishi Kilwa,
  5. Sayd Said hajawahi kuishi Kilwa, lakini alikuwa na himaya Kilwa, alikuwa anawaongoza Warabu wa kilwa
They means the same thing, then Samahani sana, I apologise. Sorry.

Hahaha, neno moja linaweza kuharimu maana ya Sentensi nzima, tafadhali soma tena hiyo comment baada ya marekebisho, Mkuu najua hizo Sentensi zimejirudia rudia,..unaweza kuita hizo ni za MSISITIZO 😊

Muhimu kuwa umefahamu kuwa Huyu jamaa Sayd Said wapi alikuwepo kabla ya kuja Zanzibar,Alikuwa anafanya nini, kwanini watu wanasema alihamia kutoka Kilwa, wakati yeye mwenye hajawahi kuishi Kilwa, kwanini alihamishia Makao Makuu yake Zanzibar

Mkuu P, wanamapinduzi na wakereketwa wa siasa wamebadilisha mengi katika historia ya Tanzania, wakifikiria kuwa wanafanya hivyo kwa manufaa ya Tanzania, kwa kweli kufanya hivyo kuna uzuri na ubaya wake
 
d more here
Name one African country which had TRC with ex colonisers (ukiondoa RSA )

acheni wazimu huuu
There are Lots My Friend
  • Africa’s Experiences in Transitional Justice
Since the early 1990s, Africa has served as a vast testing ground for new policies to address impunity, seek truth and justice, and enable reconciliation in fractured societies. Although the results of these accountability efforts have been mixed and uneven, African experiences have contributed to advancing a plethora of domestic and international transitional justice initiatives. Africa’s response to justice mirrors the upheavals of Latin America, which also suffered from false starts and political manipulation before building innovative and dynamic accountability mechanisms.

Approaches have ranged from judicial mechanisms, such as international tribunals, hybrid courts, and domestic trials, to non-judicial mechanisms like truth commissions, reparations, and traditional or community-based processes.

Various African countries have experimented with truth commissions with mixed success. For instance, Uganda had two separate truth commissions in the 1970s and 1980s to investigate the past; the first commission’s report was released in 1975, but the later commission’s report was never made public. Similarly, the reports of truth commissions in Zimbabwe (1985) and Nigeria (1999) were never officially released (because the governments perceived them to be too critical). In Ghana, a truth commission was used relatively successfully in a non-conflict setting almost a decade after the transition to constitutional rule and democratic consolidation. Finally, Rwanda and Mozambique undertook traditional community-based processes to foster reconciliation. In other cases, external actors have weighed in to reinforce accountability measures that started at a domestic level. For example, eight years after the work of the commission to inquire into the crimes and misappropriations of former Chadian president Hissène Habré and his accomplices, indictment proceedings began against the exiled former leader who has lived in Senegal since his overthrow in 1990. Following international pressure from human rights groups and notably Belgium, which

It is important to note that the AU has a number of policy documents that seek to address impunity that are instructive for current efforts to evolve ways of combating impunity and promoting peace and justice in Africa. In addition to the Constitutive Act, the following are worth noting:
• Articles 6 and 14 of the Protocol Relating to Establishment of the Peace and Security Council of the African Union on peacemaking and peacebuilding with respect to restoration of the rule of law and establishment of conditions for rebuilding society after conflict.
• Articles 31, 32, and 33 of the AU’s Policy Framework for Post-Conflict Reconstruction and Development (PCRD) address human rights, justice, and reconciliation, and explicitly recognize the need to protect human rights in any PCRD efforts. Article 33 outlines a number of activities to this end:
AU PANEL OF THE WISE 29 º provide for the development of context-based mechanisms to deal with past and ongoing grievances; º mobilize society to ensure the legitimacy and relevance of the model adopted; º address the tension between impunity and reconciliation; º encourage and facilitate peace building and reconciliation activities from the national to the grassroots levels; º allow for opportunities to invoke traditional mechanisms of reconciliation and/or justice, to the extent that they are aligned to with the African Charter on Human and Peoples’ Rights; and º establish efficient justice sectors and provide for the use of AU structures and other international instruments to reinforce human rights, justice, and reconciliation.
• Articles 16, 28, and 39 of the African Charter on Democracy, Elections and Governance enjoins African countries to consolidate democracy through exchange of experiences; strong partnerships; and dialogue between governments, civil society, and the private sector. It promotes a culture of respect, compromise, consensus, and tolerance to mitigate conflict, promote political stability and security, and harness the creative energies of the African people.
• The Mbeki Panel report on Darfur outlines generic recommendations on integrated justice and reconciliation responses, and highlights the utility of comprehensive national processes and principles for the establishment of hybrid courts in parallel with truth-telling and reconciliation process.
 
Ivi rais wa tz bara anaweza fanya ziara Zanzibar yote kama anazofanya za huku mikoani na kusikiliza kero live na kutumbua majipu hapo hapo au kuwapigia simu wakuu na kujieleza live.??
Hawezi Zanzibar ni nchi na utawala wake.
 
Please write the language that majority can understand.

No one was beaten or abused, as matter of fact all Zanzibari had equal opportunity, black, red, white they were all lived together in peace and harmony, until you came with your crazy genocide idea that killed hundreds of Zanzibaris

Higher ranking people like Ali Hassan Mwinyi, Aboud Jumbe Mwinyi all got their higher education during Sultan era,equal right and opportunity to all..

Bado mpaka karne hii mnakuja na propaganda za KIBAGUZI, za kufanya watu wachukiane, ukweli probaganda kama hizo hazitaisaidia Zanzibar wala Tanzania kwa ujumla..

Mliowauwa na kuwaafukuza nchi walikuwa sio Warabu walikuwa ndugu zetu Wazanzibari

wivu mliokuwa nao kuhusu mafanikio ya Zanzibar ndio yaliyokufanyeni muipindue Zanzibar, haya sasa Zanzibar iko wapi? Ufukara kila kona

Tunamtaka mjukuu wa ndugu yetu Sultan Ali bin Hamud areje Zanzibar, tuishi kama zamani, "Zanzibar njema atakae aje"..

View attachment 1283228View attachment 1283229
Wivu alikuwa nao mwingereza, ndio maana aliitwanga Zanzibar na akaiamrisha ku surrender its sovereignty !
 
Zanzibar kama ikiwa chini ya Oman wazanzibar wataneemeka sana na shida itakua ndio mwisho...na kwa mahusiano tuliyonayo hata bara tutanufaika sana...shida hapa ni siasa..means hapa znz itakua kama visiwa vya mayyote vilivyo chini ya mfaransa mambo shwari
Huwajui waarabu ww,ikuneemeshe kwa lipi wakati bado hawajafikia malengo bado
 
Moja katika hotuba za Maalim Seif ameshawahi kusema kuwa Sultan Sayd Said, Sultan wa mwanzo wa Zanzibar alialikwa na Wazanzibari wa siku hizo ili aje awasaidie kuwaondoa Wareno..

Mkuu kauli yako ina utata, Sisi watu weusi tangu tujitawale pale Zanzibar, Zanzibar imeingia katika matatizo uchumi umeshuka, chuki zimeibuka na mengi mengineo
Chuki zilikwepo kitambo hata kabla ya Mapinduzi,tatizo waarabu wanatushika masilkio tunaanza kuchukiana lengo lao kurudi madarakani na siku wakirudi madarakani ndio mtaisoma namba vzur maana ubaya wao mnausoma vtabuni tu bado hamjauona bado,nna ndugu yangu amezurura huko uarabuni unaambiwa ni wabaguzi kinoma
 
Kwani wewe hujui kuwa visiwa vilikuwa pori mpaka Sultan alipokuja? Hakuna mtu aliyejuwa kuna kisiwa pale, hata wavuvi hawakuwahi kufahamu japokuwa waliishi kilomita 25 tuu kutoka visiwani.
Na Mafia je nako nani alikigundua?
 
H Ghasany na swahiba yake Mo Said ndio ma chief propagandists wa kutuaminisha hayo

Imagine haya mabeberu ya Kiarabu yametoka Oman yamekuja yakanyanganya ardhi na Nyumba na mali na wake na mwisho yakawafanya watu weusi watumwa hapa Zanzibar leo kupitia KUKU kuwa zanzibar ilikuwa ni jiwe tue mpaka akaja mkoloni mwarabu

The audacity of these Omanis....
Mimi huwa nashangaa sana hawa watu kutoka ng'ambo iweje waliokota kisiwa Africa? Je kuna Muafrica aliokota kisiwa huko Uarabuni au Ulaya? Kweli watu weusi tunadharaulika sana.
 
Karibu Zanzibar, wakati huo kulikuwa na msemo usemao "zanzibar njema atakae aje" au "Ngoma ikilia Zanzibar husikika mpaka Congo"

Chini ni picha za wazawa wa Zanzibar waliokaribisha Sultan Said aje awasaidie kumuondoa Mreno

Hii picha ya chini inaonyesha kwa uwazi kabisa kuwa kulikuwa hakuna UBAGUZI baina ya Wazanzibari wenye asili ya KIAFRIKA na ndugu zao wenye asili ya KIARABU, hivi sasa haya hayaonekani tena, probaganda za uongo zilizotengenezwa na wana Mapinduzi zimeleta ubaguzi katika jamii za Zanzibar [/b ]
View attachment 1281259View attachment 1281255

View attachment 1281256
Mbona wengine wako peku wengine wanaviatu?
 
Sio mbaya kama ukoloni utarudi, tumeshindwa kuleta maendeleo kwa wananchi nchi imerudi nyuma..

Zanzibari ikiwa kama nchi ya mwanzo kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati hivi sasa inaongoza kwa kukatika umeme katika nchi za Afrika Mashariki na kati
Hizi akili huwa tunapewa waafrika ili tujidharau ila uhalisia kwamba Afrika ni moja kati bara lenye umri mdogo sana katika harakati za kimaendeleo yaani Leo hii unataka Zanzibar ya 1964 iwe sambamba na Oman ya 1650? kifupi waarabu wanampango wa kurudi kutawala Zanzibar na siku wakifanikiwa mtakiona cha mtema kuni wanzanzibar wenye asili ya bara maana hii naifananisha na harakati za watutsi kuchukua Rwanda walianza na propaganda kama hizo walipofanikiwa kuchukua Rwanda leo hii wahutu wameminywa mirija yote ya wao kujiongezea ushawishi kisiasa ili wasije ichukua tena Rwanda
 
Hadi Leo waarabu ni wabaya sana full dharau full kujiona yaan huwa wanatuona waafrika ni kama mistakes za mungu ktk uumbaji,ttzo la waislamu wengi wanawatetea waarabu wakizani wanatetea uislamu kumbe wanachanganya vitu viwili tofauti yaani kiuhalisia Muarabu si mtu wa kutetewa na muafrika,kama ww ni muafrika halafu unatetea waarabu basi unatatizo angalia Sudani kule wale waarabu wanavyowabagua na kuwatesa wasudani wenzao kisa wanaasili ya Afrika(ngozi nyeusi),nyie endeleeni tu kuwasifia kwa kuhadithiwa tu omba usiwe among Arab community
Karibu Zanzibar, wakati huo kulikuwa na msemo usemao "zanzibar njema atakae aje" au "Ngoma ikilia Zanzibar husikika mpaka Congo"

Chini ni picha za wazawa wa Zanzibar waliokaribisha Sultan Said aje awasaidie kumuondoa Mreno

Hii picha ya chini inaonyesha kwa uwazi kabisa kuwa kulikuwa hakuna UBAGUZI baina ya Wazanzibari wenye asili ya KIAFRIKA na ndugu zao wenye asili ya KIARABU, hivi sasa haya hayaonekani tena, probaganda za uongo zilizotengenezwa na wana Mapinduzi zimeleta ubaguzi katika jamii za Zanzibar [/b ]
View attachment 1281259View attachment 1281255

View attachment 1281256
 
Ivi rais wa tz bara anaweza fanya ziara Zanzibar yote kama anazofanya za huku mikoani na kusikiliza kero live na kutumbua majipu hapo hapo au kuwapigia simu wakuu na kujieleza live.??
Hapana mkuu,Hiyo itaondoa utamu wa muungano inaonekana kama tumewameza vile
 
Naona watu wanachangia tu bila hata kuiona hiyo article. Article iko wapi?
 
Back
Top Bottom