Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Hapna mkuu......kuwa na mpira uadui ndio kunafanya mpira wa bongo kukua zaidi ......coz kitendo Cha wapinzani wenu kuto waunga mkono kutawafanya .....wachezaji wa SIMBA kujituma Zaid
 
Kitu kinachowasumbua wanayanga ni ushamba na wivu uliopitiliza. Ushindi wa Simba ni heshima ya Tanzania na TPL
 

 
Simba Leo anashinda NNE bila, mark my words

😁😁😁 Wacha wewe! Mugalu anatupia 1, Kagere 2 na Captain John Bocco anakuja kulizamisha kabisa jahazi la Asec Mimosa kwa goli 1 la dk za lala salama!!

Yaani washambuliaji wetu leo watamaliza ukame wote! Na uzuri leo hatumtegemei Ahmada Simba kutupatia penati, hivyo lazima tupambane mpaka kieleweke. 😫
 
Mnataka mshinde ......alafu mna muacha nje Morrison ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…