Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

Simba atanyukwa bao za aibu sana hakuna timu pale.
 
Nani kakutuma huko Bwagamoyo?
 
Tambeni huu ni muda wenu

Tukishinda tunawaomba msizime data
 
Simba Sc haiwezi kuchangamana na intarahamwe wa jangwani, acha washangilie wageni.
 
Asec wanamgegeda mnyama kama Jwaneng walivyofanya siku ile pale kwa Mkapa.
 
Leo Simba ndio watajua kubebwa na Marefa wa bongo kumewaletea athari kiasi gani. Kipigo Cha Leo lawama nazipeleka moja kwa moja kwa Marefa wao ndio walio ilemaza timu ya Simba.
Msije kusema ASEC ni vibonde.
 
Chukua hii ninachojua na Kazi ndiyo tumetoka Kuimaliza sasa japo nikiri ilikuwa ni Nzito kwani Jamaa ( Asec Mimosa ) nao ni Wazima na Wazito kwa Unyangindo ( Uchawi ) ila kuna mahala tumewaweza.

Simba SC anashinda Goli 1 kwa 0 au Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 1 japo kuna Uwezekano Mchezaji Kuumia na kuna Kitu kitatokea Uwanjani ila msiogope, msishangae na muwe Wavumilivu nacho.

Mafia wa Soka na Simba SC tumerejea!!

Cc: Bujibuji Simba Nyanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…