Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Save water drink beer. 🥃🥃
Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili Mamelodi yupo Angola tangia juzi na ana game leo ya champions league then useme jana kacheza?? Muwe mnafatilia waliocheza ni timu ya vijana ya Orlando Pirates vs ya Mamelodi na game imechezwa leo matako wewe🤪😂Nilikuwa nashangaa ni kwa nini Orlando wanachelewa kuja Dar kwa ajiri ya mechi yao na Simba? Kumbe wenzentu wapo vizuri sana utaratibu wa ligi yao.
Ni kwamba jana Orlando Pirates walikuwa na game ngumu na Mamelod Sundowns The Brazilian na wamepoteza game kwa kufungwa holi 3 kwa 2, game ya round ya kwa Orlando walipigwa 3 bila na Mamelod, kwahiyo Orlando kwa Mamelod si lolote.
Ila point yangu hapa kiufundi ni faida kubwa sana kwa fitness kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Simba ambao wana wiki nzima hawajacheza mechi ya kiushindani, hivyo tukiacha mazingaombwe na kwa Mkapa hatoki mtu kwa jicho la kiufundi mechi ya kesho inakwenda kuwapa faida zaidi Orlando kuliko Simba.
Kuna vitu sasa TFF ijifunze na klabu zetu zijifunze, ingekuwa ni hapa kwetu Orlando wasingecheza mechi ngumu nyumbani kwao siku 3 kabla ya mechi ngumu ya kimataifa tena unahitajika kusafiri.
Kwa ushahidi huu sitalajii kusikia kisingizio chochote cha kuhairisha mechi ya Simba na Yanga tarehe 30, ni faida pia kwa Simba kwa match fitness.
Ina uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.Kwetu Matola ni viazi utamu vilivyo chemshwa na kukaushwa juani kwa matumizi ya kiangazi
Wewe ni Simba au Utopolo ? Declare interest kwanza toanishiNilikuwa nashangaa ni kwa nini Orlando wanachelewa kuja Dar kwa ajiri ya mechi yao na Simba? Kumbe wenzentu wapo vizuri sana utaratibu wa ligi yao.
Ni kwamba jana Orlando Pirates walikuwa na game ngumu na Mamelod Sundowns The Brazilian na wamepoteza game kwa kufungwa holi 3 kwa 2, game ya round ya kwa Orlando walipigwa 3 bila na Mamelod, kwahiyo Orlando kwa Mamelod si lolote.
Ila point yangu hapa kiufundi ni faida kubwa sana kwa fitness kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Simba ambao wana wiki nzima hawajacheza mechi ya kiushindani, hivyo tukiacha mazingaombwe na kwa Mkapa hatoki mtu kwa jicho la kiufundi mechi ya kesho inakwenda kuwapa faida zaidi Orlando kuliko Simba.
Kuna vitu sasa TFF ijifunze na klabu zetu zijifunze, ingekuwa ni hapa kwetu Orlando wasingecheza mechi ngumu nyumbani kwao siku 3 kabla ya mechi ngumu ya kimataifa tena unahitajika kusafiri.
Kwa ushahidi huu sitalajii kusikia kisingizio chochote cha kuhairisha mechi ya Simba na Yanga tarehe 30, ni faida pia kwa Simba kwa match fitness.
Matola ni aina ya kiazi nilikuwa na link hapo na ID yakoIna uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.
ndio maana sisi wakati ligi imesimama kuisubiri Simba icheze za kimataifa, huwa tunaamua kucheza na Mlandege 😁Nilikuwa nashangaa ni kwa nini Orlando wanachelewa kuja Dar kwa ajiri ya mechi yao na Simba? Kumbe wenzentu wapo vizuri sana utaratibu wa ligi yao.
Ni kwamba jana Orlando Pirates walikuwa na game ngumu na Mamelod Sundowns The Brazilian na wamepoteza game kwa kufungwa holi 3 kwa 2, game ya round ya kwa Orlando walipigwa 3 bila na Mamelod, kwahiyo Orlando kwa Mamelod si lolote.
Ila point yangu hapa kiufundi ni faida kubwa sana kwa fitness kuelekea mechi yao ya kesho dhidi ya Simba ambao wana wiki nzima hawajacheza mechi ya kiushindani, hivyo tukiacha mazingaombwe na kwa Mkapa hatoki mtu kwa jicho la kiufundi mechi ya kesho inakwenda kuwapa faida zaidi Orlando kuliko Simba.
Kuna vitu sasa TFF ijifunze na klabu zetu zijifunze, ingekuwa ni hapa kwetu Orlando wasingecheza mechi ngumu nyumbani kwao siku 3 kabla ya mechi ngumu ya kimataifa tena unahitajika kusafiri.
Kwa ushahidi huu sitalajii kusikia kisingizio chochote cha kuhairisha mechi ya Simba na Yanga tarehe 30, ni faida pia kwa Simba kwa match fitness.
Mkuu Orlando na Mamelodi wamecheza lini? Labda umeangalia mechi za timu zao za vijana au wanawake. Orlando wamecheza mechi yao ya ligi mara ya mwisho siku ya Jumanne 12/04/2022 na kutoka suluhu 0-0 na Baroka. Acha kuwadanganya utopolo kwenye magroup yenu. Eti unashangaa hawaji mapema, yaani unawasubiri kabisa 😂Nilikuwa nashangaa ni kwa nini Orlando wanachelewa kuja Dar kwa ajiri ya mechi yao na Simba? Kumbe wenzentu wapo vizuri sana utaratibu wa ligi yao. Ni kwamba jana Orlando Pirates walikuwa na game ngumu na Mamelod Sundowns The Brazilian na wamepoteza game kwa kufungwa holi 3 kwa 2, game ya round ya kwa Orlando walipigwa 3 bila na Mamelod, kwahiyo Orlando kwa Mamelod si lolote.
Manara alishesama uto wote hamnazo.Mkuu Orlando na Mamelodi wamecheza lini? Labda umeangalia mechi za timu zao za vijana au wanawake. Orlando wamecheza mechi yao ya ligi mara ya mwisho siku ya Jumanne 12/04/2022 na kutoka suluhu 0-0 na Baroka. Acha kuwadanganya utopolo kwenye magroup yenu. Eti unashangaa hawaji mapema, yaani unawasubiri kabisa 😂
View attachment 2189596
Kwetu matola ni yale mafinyefinye yanayokaa toilet....Ina uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.