Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

Huna akili Mamelodi yupo Angola tangia juzi na ana game leo ya champions league then useme jana kacheza?? Muwe mnafatilia waliocheza ni timu ya vijana ya Orlando Pirates vs ya Mamelodi na game imechezwa leo matako weweπŸ€ͺπŸ˜‚
 
Kwetu Matola ni viazi utamu vilivyo chemshwa na kukaushwa juani kwa matumizi ya kiangazi
Ina uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.
 
Wewe ni Simba au Utopolo ? Declare interest kwanza toanishi
 
Ina uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.
Matola ni aina ya kiazi nilikuwa na link hapo na ID yako
 
ndio maana sisi wakati ligi imesimama kuisubiri Simba icheze za kimataifa, huwa tunaamua kucheza na Mlandege 😁
 
Mkuu Orlando na Mamelodi wamecheza lini? Labda umeangalia mechi za timu zao za vijana au wanawake. Orlando wamecheza mechi yao ya ligi mara ya mwisho siku ya Jumanne 12/04/2022 na kutoka suluhu 0-0 na Baroka. Acha kuwadanganya utopolo kwenye magroup yenu. Eti unashangaa hawaji mapema, yaani unawasubiri kabisa πŸ˜‚

 
Manara alishesama uto wote hamnazo.
 
Huyu jamaa kweli kathibitisha ile kauli ya msemaji wao,Haji sunday Manara
 
Mkuu umewahi kucheza mpira hata ligi ya ndondo? mechi zinachosha wachezaji? unless ulimaanisha hiyo advantage ni kwa simba!
 
Ina uhusiano gani na thread hii? Orlando wameingia usiku wa kuamkia leo na kesho wanacheza na Simba na mnapigwa nyumbani, vijana wako fit kimwili na kiakili.
Kwetu matola ni yale mafinyefinye yanayokaa toilet....
Mamelod waliyocheza na orlando ni ya kule kwenu nyamkunya ila sio hii ya MADIBA.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli wamecheza Orlando na Mamelodi Reserves Players( Wachezaji wa akiba,ambao hawajasafiri na timu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…