Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Ety utabiri,, wewe umekuwa nani kwanza una uspecial gani, uliwahi tabiri jambo gani la maana.. toa hizo tongotongo.Simba mambo yao yanaonekana wana watu wenye akili wanayoya plan
♦️Ukiangalia mpangilio wa Siku ya mwananchi ni wa kienyeji kuliko simba walivyoipamba siku yao. Kitendo cha kuweka viingilio vikubwa kilisababisha uwanja usijae kwani mashabiki wa kima cha chini ambao ndio wafiatimu walishindwa. Tukumbuke kuwa nyomi la mashabiki ndio inakuza brandi ya timu na ndio pesa zenyewe kwani wadhamini wanavutiwa
Yanga wamedanganywa na manara kuwa bila yeye uwanja haujai na hata wakiweka koingilio chochote akipiga domo watu wanajaa,kitu ambacho sii kweli mbona Simba wamejaza ni manara kajaza? Kitendo cha Tanga kuksidi hukumu ya TFF dhidi ya manara wamejiingiza kwenye mgogoro usio na sababu.
Ussjili,Yanga imetumia nguvu na hela kubwa kumsajili mchezaji mmoja wa maana, wengine wakalokoteza lokbiriteteza zalookauka. Je! Huyo mmoja ndio atabadilisha timu?
Wenzao wamevhelewa lakini wakafanya usajili wa vijana wa maana na wenye kasi na wameendana na mfumo kwa haraka.
Viongozi wa yanga ni vijjana na wanaendesha timu kisela.
UTABIRI
Huu unaweza kuwa mwaka mbaya wa migogoro mkubwa ndani ya wananchi, wa kufukuzana na kushutumiana. Anayeitwa pfofesa sasa atalaumiwa na sidhani kama atamaliza msimu. Anaye itwa screen protector leo sijui katikati ya msimu ataitwaje
Yanga inajishape kithamani..Kolo imejaza uwanja kwa buku 3, 3 Ila kwenye mapato tumewazidi mara dufu.. We are citizens... Hakuna kolo litajilinganisha kwetu.. Timu tunayo kama unabisha save my comment then uje ui-revive Saturday after game