Kuelekea Mechi ya Yanga na Marumo Gallants naomba kusitokee Msiba wowote wa mwana Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu.

Nitashukuru kusipotokea Misiba.
 
Hawa jamaa kwa makafara wamekubuhu, Kuna, HD, Ally Kamwe na kuna mmja majuzi nimemshahau.
 
Mnaharibu platform ya watu kutoka kwa jukwaa la watu wenye maarifa hadi kuwa jukwaa la watu wenye upeo mdogo wa kufikiria. Na mnacholeta hapa ni uchonganishi kwa kitu ambacho hauna ushahidi nacho.
Fuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISA
 
Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu.

Nitashukuru kusipotokea Misiba.
Itakuwa zindiko kubwa msiba uwe wewe lakini itapendeza kama utachagua uzikwe wapi!
 
Back
Top Bottom