changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Hayo majina uliyataja ndio yamefanya tukio gani? Na ilikuwa ni lini? Usiishie kutaja taja majina ya watu kama unachokiongea una uhakika nacho kiongee hapa. Sio kuchafua tu watuFuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISA