GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuliko anayekukaza?Ila we jamaa huwa ni kiazi sana[emoji706][emoji706][emoji706]
Ndio shida Yako,, unaanzisha Uzi halafu unaanza kupaniki na kutukana watu. Hao wanaokupaga credit na wao watakuwa na shida mahalaKuliko anayekukaza?
Hiyo itakuwa alijipa, sioni Cha muhimu zaidi ya kuanzisha nonsense threads Kisha kuwatukana wanaocomment.. kazi kweli aiseeHalafu eti jf wakampa na tuzo huyu chizi maliwa
Hawa jamaa kwa makafara wamekubuhu, Kuna, HD, Ally Kamwe na kuna mmja majuzi nimemshahau.Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu.
Nitashukuru kusipotokea Misiba.
Mnaharibu platform ya watu kutoka kwa jukwaa la watu wenye maarifa hadi kuwa jukwaa la watu wenye upeo mdogo wa kufikiria. Na mnacholeta hapa ni uchonganishi kwa kitu ambacho hauna ushahidi nacho.Hawa jamaa kwa makafara wamekubuhu, Kuna, HD, Ally Kamwe na kuna mmja makuzi nimemshahau.
Fuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISAMnaharibu platform ya watu kutoka kwa jukwaa la watu wenye maarifa hadi kuwa jukwaa la watu wenye upeo mdogo wa kufikiria. Na mnacholeta hapa ni uchonganishi kwa kitu ambacho hauna ushahidi nacho.
Itakuwa zindiko kubwa msiba uwe wewe lakini itapendeza kama utachagua uzikwe wapi!Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu.
Nitashukuru kusipotokea Misiba.
ππππNdio shida Yako,, unaanzisha Uzi halafu unaanza kupaniki na kutukana watu. Hao wanaokupaga credit na wao watakuwa na shida mahala
AahhaaaaaaItakuwa zindiko kubwa msiba uwe wewe lakini itapendeza kama utachagua uzikwe wapi!
AahaaaaaHalafu eti jf wakampa na tuzo huyu chizi maliwa