Hayo majina uliyataja ndio yamefanya tukio gani? Na ilikuwa ni lini? Usiishie kutaja taja majina ya watu kama unachokiongea una uhakika nacho kiongee hapa. Sio kuchafua tu watuFuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISA
Unaweza kupewa taarifa ya kufiwa na mwanao ukiwa kwenye safari ya kikazi na upo njiani ukaamua kuendelea na safari unaacha huku nyuma wazike maana utarudi baada ya siku tatu au nne? Tuanzie hapoHayo majina uliyataja ndio yamefanya tukio gani? Na ilikuwa ni lini? Usiishie kutaja taja majina ya watu kama unachokiongea una uhakika nacho kiongee hapa. Sio kuchafua tu watu
Dini ya kiislamu inasemaje mtu akifa? tena mtoto.Fuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISA
Mwakasege alifiwa na mtoto wake Mbeya yeye akiwa kwenye semina mkoa mwingine na hakuhairishia seminar aliendelea na semina kwa siku zote zilizopangwa mpaka akamaliza ndio akarudi Nyumbani.Unaweza kupewa taarifa ya kufiwa na mwanao ukiwa kwenye safari ya kikazi na upo njiani ukaamua kuendelea na safari unaacha huku nyuma wazike maana utarudi baada ya siku tatu au nne? Tuanzie hapo
hata kama inasema azikwe=siku hiohio unashindwaje kuahirisha safari ukawahi ku- grieve msiba wa mwanaoDini ya kiislamu inasemaje mtu akifa? tena mtoto.
Fanculo Ade gamisu.
kwaio Mwakasege ni IS-Unit?Mwakasege alifiwa na mtoto wake Mbeya yeye akiwa kwenye semina mkoa mwingine na hakuhairishia seminar aliendelea na semina kwa siku zote zilizopangwa mpaka akamaliza ndio akarudi Nyumbani.
Fuseeekii.
Mtu anayetukana matusi ni mweupe kichwani katika kutetea hoja hivyo hutumia matusi kama namna pekee ya kujitetea.Fuatilia ndio uje kubisha mi nimekutajia majina baadhi we kanusha kwa ushahidi. Kamwe Mtoto anafariki akiwa Ethiopia akashindwa kurudi kuzika mwanae akaendelea na safari, SHEENZI KABISA
Mkuu ukisoma ukiwa umetulia utaelewa hujatukanwa wewe ila tabia ya yule aliyeamua kuendelea na safari hata baada ya kutaarifiwa kufiwa na mwane. Read bettween the linesMtu anayetukana matusi ni mweupe kichwani katika kutetea hoja hivyo hutumia matusi kama namna pekee ya kujitetea.
Unaweza kupewa taarifa ya kufiwa na mwanao ukiwa kwenye safari ya kikazi na upo njiani ukaamua kuendelea na safari unaacha huku nyuma wazike maana utarudi baada ya siku tatu au nne? Tuanzie hapo
Yaani mtu kuruhusu kuendelea na mazishi ndio uthibitisho wa kumtoa kafara, inamaana angeenda kuzika akili yako isingewaza hili la kafara. Mbona reasoning yako ya hovyo mkuu.Mkuu ukisoma ukiwa umetulia utaelewa hujatukanwa wewe ila tabia ya yule aliyeamua kuendelea na safari hata baada ya kutaarifiwa kufiwa na mwane. Read bettween the lines
Mtu anajiita Einstein na hana akiliYaani mtu kuruhusu kuendelea na mazishi ndio uthibitisho wa kumtoa kafara, inamaana angeenda kuzika akili yako isingewaza hili la kafara. Mbona reasoning yako ya hovyo mkuu.
Chizi Maliwa kama Babaako.Halafu eti jf wakampa na tuzo huyu chizi maliwa
Tegemea mwingine kuelekea tarehe 10 au tarehe 17 kwani Mtaalam wa sasa kutokea Kibirizi Mkoani Kigoma baada ya kumuweka Kando yule wa kitokea Kilosa Mkoani Morogoro anataka Kudondosha Waru tu hataki kabisa kutumia Kitabu.Hawa jamaa kwa makafara wamekubuhu, Kuna, HD, Ally Kamwe na kuna mmja majuzi nimemshahau.
ni kweli chief usemalo,Ndio shida Yako,, unaanzisha Uzi halafu unaanza kupaniki na kutukana watu. Hao wanaokupaga credit na wao watakuwa na shida mahala
mkuu huwa nasemaga humu,watanzania wajinga wajinga wengi, na humu ndo wamejaa kibaoHalafu eti jf wakampa na tuzo huyu chizi maliwa
Jamaa hata kuandika hujui ndio maana unaleta mambo ya kishirikina humu hata shule hujaenda.kwaio Mwakasege ni IS-Unit?