Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

Hili suala nalijibu sana huko juu lakini sijui kwanini kunaeleweka inakuwa ngumu.

Jamani, hapa nazungumzia zaidi ADA ya UWAKALA.

Hii utakatwa tu uwe Mwanachama au usiwe Mwanachama.

Na hili lipo, na wewe ambaye hukatwi sasa watakuja kukukata tu labda kama Sheria ya ajira na mahusiano kazini iwe imefuta hii Ada.

Na hapa nazungumzia zaidi wale ambao siyo wanachama lakini wanakatwa haya makato.
 
Unaonekana unanyanyaswa kazini kwako.

ELRA2004 inakuhuje? Wakati mabadiliko ya sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298 ya mwaka 2019 imewaondoa watumishi wa Umma kwenye ERLA 04.

Halafu ADA YA UWAKALA inatifautianaje na ADA ya MWANACHAMA?
Watumishi wa Halmashauri mnaburuzwa sana
 
Si mjitoe?
 
Weee jamaa unaongea sana.

Weka Happ hayo mabadiliko ya hiyo ERLA04.

Kwasababu unaongea sana utafikiri Watumishi wa Halmashauri pekee ndio wahanga wa tatizo hili.
 
Weee jamaa unaongea sana.

Weka Happ hayo mabadiliko ya hiyo ERLA04.

Kwasababu unaongea sana utafikiri Watumishi wa Halmashauri pekee ndio wahanga wa tatizo hili.
Mi ni mtumishi tena wa kitambo na sikatwi we unakwama wapi?

Print salary slip ambatanisha na barua ya kujitoa mpelekee HR wako.

Unalalamikia kitu ambacho kinawezekana ngazi ya ofisi yako ndio Rais aitatue? Nini maana wa ugatuaji
 
Makato ni hiari mbona Mimi sikatwi
 
Mi ni mtumishi tena wa kitambo na sikatwi we unakwama wapi?

Print salary slip ambatanisha na barua ya kujitoa mpelekee HR wako.

Unalalamikia kitu ambacho kinawezekana ngazi ya ofisi yako ndio Rais aitatue? Nini maana wa ugatuaji
Kujitoa kwenye Nini?
 
Unajitoaje kwenye kitu ambacho hukijiunga. Nasema hili kwasababu inaonekana Kuna watu huwa mnaona kama vile watu hawajawahi kufanya jitihada zozote za kujitoa kwenye mtego huu.
 
Unajitoaje kwenye kitu ambacho hukijiunga. Nasema hili kwasababu inaonekana Kuna watu huwa mnaona kama vile watu hawajawahi kufanya jitihada zozote za kujitoa kwenye mtego huu.
We ni either mbishi au dishi linayumba.

Kuna watu inatokea wamekatwa fedha kwa nahati mbaya bila kujiunga na wanadai kutolewa kwenye makato na wanatolewa.

Kuna mtumishi mmoja alikijikuta anakatwa Bayport na hajakopa akafuatilia, makato yakasitishwa na akarudishiwa fedha zake.

Sasa hapo unakwamaje? Mbona wengine hatukatwi? Kwenu linashindikanaje?
 
Mkuu, kuwa mtulivu ili ujifunze.

Una akili ngumu halafu unajifanya mbishi.

Nimekwama let hapa hayo mabadiliko ya Sheria uliyosema yalifanywa mwaka 2009 lakini bado unapiga bla bla, ninyi Ndio mmechomekwa huko kwenye mashirika lakini uwezo sisimizi.

Nakupa mifano ya Mapambano ambayo najua wewe Hakuna unachojua.

Hii ilikiwa 2012.

Wewe unaonekana huna unachojua.
 
Sasa kama walimu wamejitoa wewe unakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…