Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

Tanzania vyama vya wafanyakazi visingekua na upuuzi wa kuweka mbele maslahi ya kisiasa huu ujinga usingekuwepo
kwanza huyu waziri na serikali yake ilibidi wakaangwe kwenye Moto maana wao maslahi ni mazuri lakini wanabana maslahi ya wafanyakazi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ