Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yangu macho tu kesho kwa mchina hawatoki
 
Ninachowapendea hata kwenye rufaa wanashirikiana bila hata mmoja kujiuliza uhalali wa rufaa. Mtaona kesho hata hamu ya viporo itawaishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Jr[emoji769]
 
Sijawahi kuwa Yanga na sitakuwa milele. Ila nasemea uhalisia Simba iko overrated sana.
Simba iliyo ingia kwenye timu bora 16 barani Africa! kwa kumtoa Mbabane swallows (alikula 8) na Nkana! Simba hipo kwenye kundi gumu ila ana point 6, akimfunga Vita hapa nyumbani anaingia robo fainali. Sasa hapo inakuwaje over rated. Chama, Okwi, Kagere wote wanahitajika na timu kubwa ila Simba inapambana kuwatuliza. Ata Man city na kikosi chake kipana Burnley wanaeza mtoa nishai huo ni mpira. Ila hii Simba hiko vizuri mkuu, kuwa na amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo kufunga Mara kwa Mara ni added value kama Casamillo..Msimu wa 2016-2017 Tambwe alifunga double digits..msimu uliopita alikuwa injury.. Amerudi tena..unafikiri kwa nini Amunike anampa nafasi.Feisal kuliko Mkude?ameona bright future kwake
Mkude ni defensive midfielder na anafanya vzr kwa namba hiyo, Feisal akipangwa kama defensive midfielder hua anatapata shida sana na analazimika kukata muda mwingi. Huwez kumlinganisha mkude na Feisal katika kuisaidia defence ila kama Feisal akicheza kama attacking ndio anacheza vzr. Ndio maana nilikwambia viungo wana vigezo vya vya kupima kutokana na nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii match inachezwa saa ngapi?maana Azam walikuwa wanatangaza itachezwa saa11 jioni leo nimeona sehemu TFF wanasema itakuwa saa10 kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DOOOH. Wacha yangu yawe macho na masikio tu maana kwenye huu uzi nitayaona mengi hasa kutoka kwa Watani zangu hali ya kuwa hata mpira haujachezwa bado. Teh

Haya Mujitahidi Mujae Uwanjani basi msiishie hapa.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mtani vipi ushapata tikiti kesho tuonane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…