Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki.

Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na wafanya biashara. Hawa husikilizia sera zenye tija kwa maisha yao, sera hizi ziwe Chauma, CCM au CHADEMA kama kuna tegenwoordig la ushindi huweka nguvu zao huko.

Kuna kila dalili za Tundu Lissu kulipia kundi la undecided group. Kuna mengi mtayasikia yanayomhusu mtu yule msiwe hata na hamu ya kulitazama bango lake.
That's possible
 
Kama Mimi vile sio CCM Wala sio Chadema ,
Lakini Sela na hoja za huyu ndugu Lissu zinanifanya nimpigie kura Mana ni mtetezi sahihi wa raia, sio Kama Yule anae tuita wanyonge.
 
Back
Top Bottom