Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

We jamaa
Unaongelea kaskazini ipi? Acha kunywa pombe ukifikiri ni uji jombaa
 
KaKueKaribulekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.
Karibu sana mkuu
 
Hii ndo msemo inayosema Don't burn your opportunity for temporary comfort
Ndo jiwe anachokifanya now
 
Kuomba kura na kuwapa watu maisha bora ni vitu tofauti katika vichwa vya wagombea wengi waliojitokeza..Nchi hii bado inahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Kama Chato penyewe kakataliwa sembuse kaskazini kwa watu wanaojitambua?
 
Huenda kweli lakini maneno yako siwezi yaamini kwani mnacheza faulo sana. Kama mngekuwa hamchezi faulo huenda ningeamini.

Lakini nawatakia kila la heri.
 
Ila tukiacha unafki watanzania tukimchagua Lissu anaweza akaiuza hii nchi....
 
Jpm anashinda kwa zaid ya 90%, haijawahi kutokea
Nyie wapambe wake ndio mnamharibia mzee wa watu, upinzani wote huo bado unaongea vitu ambavyo ni vichekesho!?
Hata mfanye figisu kuvusha 50% itakuwa ngumu sana. Bila figisu mnang'oka na hamtaamini. Mungu awajaalie uvumilivu msije kuleta machafuko.
 
Ila tukiacha unafki watanzania tukimchagua lissu anaweza akaiuza hii nchi....
Hizi story za kuuza nchi ni za kitoto sana maana hauna ushahidi wowote.
Lakini kuna ushahidi mwingi wa matendo ya viongozi wa ccm dhidi ya Taifa hili.
Hebu ioneeni huruma hii nchi jamani. Kwani watanzania tumekosa nini hata kutaka kutuonea kiasi hiki?
Ubinafsi mtupu.
 
Nyie wapambe wake ndio mnamharibia mzee wa watu, upinzani wote huo bado unaongea vitu ambavyo ni vichekesho!?
Hata mfanye figisu kuvusha 50% itakuwa ngumu sana. Bila figisu mnang'oka na hamtaamini. Mungu awajaalie uvumilivu msije kuleta machafuko.
Upinzani ulikuwa wa Dr slaa na lowasa wengne ni usumbufu tu,, wezake akna mnyika, na mboe wamesoma upepo wapo kimya, na kipind cha nyuma Ccm ilikuwa inapasuka baada ya kura za maoni mwaka huu halipo hilo, upnzani wote uliokuwa unaua kura kanda zote saiv uko ccm
 
Kumbe Laizer aliibuliwa na Magufuli, Je alipewa mtaji wa mashine za kuchimba? Alipewa mtaji wa kifedha kugharamia shughuli za uchimbaji, alipelekwa mafunzo nje ya nchi? Mimi nafikiri suala la Laizer ni suala la bahati tu. Kama ni suala la sera mbona ni mmoja tu amefanikiwa? Si wangekuwepo hata 10 jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…