Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuuTangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.
Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri CHADEMA haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!
Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwaheri CHADEMA kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.
Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.
Kama Chato penyewe kakataliwa sembuse kaskazini kwa watu wanaojitambua?Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.
Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.
Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri CHADEMA haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!
Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwaheri CHADEMA kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.
Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.
Huenda kweli lakini maneno yako siwezi yaamini kwani mnacheza faulo sana. Kama mngekuwa hamchezi faulo huenda ningeamini.Fanya utafit kiongoz utandua mikoa yote mikubwa maguli anakubalika MF.Mwanza ujenzi wa meli za kisasa kivuko busis na vingne ving, Dar flyover nk, Dodoma kuhamishia lkulu kwa vitendo,kuboresha miundo mbinu nk,Arusha trani na vitu vinne ving, kiujumla jpm anapendwa sana nakund ya kila namna na atpitata kwa 90% utanimbia baada ya tar: 28
Nyie wapambe wake ndio mnamharibia mzee wa watu, upinzani wote huo bado unaongea vitu ambavyo ni vichekesho!?Jpm anashinda kwa zaid ya 90%, haijawahi kutokea
Hizi story za kuuza nchi ni za kitoto sana maana hauna ushahidi wowote.Ila tukiacha unafki watanzania tukimchagua lissu anaweza akaiuza hii nchi....
Upinzani ulikuwa wa Dr slaa na lowasa wengne ni usumbufu tu,, wezake akna mnyika, na mboe wamesoma upepo wapo kimya, na kipind cha nyuma Ccm ilikuwa inapasuka baada ya kura za maoni mwaka huu halipo hilo, upnzani wote uliokuwa unaua kura kanda zote saiv uko ccmNyie wapambe wake ndio mnamharibia mzee wa watu, upinzani wote huo bado unaongea vitu ambavyo ni vichekesho!?
Hata mfanye figisu kuvusha 50% itakuwa ngumu sana. Bila figisu mnang'oka na hamtaamini. Mungu awajaalie uvumilivu msije kuleta machafuko.
Faulo zip.lete ushahidHuenda kweli lakini maneno yako siwezi yaamini kwani mnacheza faulo sana. Kama mngekuwa hamchezi faulo huenda ningeamini.
Lakini nawatakia kila la heri.
Usitusemee wana Arusha
Ungekuja kula na kunywa double kiki kisha unaimba tarimbaaaaaJiunge nao
Ubaguzi wa chama umeanza lini? Au CHADEMA ni wa Kenya? Wapumbavu ka weye ndo wanakiua chama cha CCMPigeni chini Chadema, mtapata maendeleo
Ushahidi wa tutashitakiwa MIGA haukutoshi?
Au na wewe ni bonge la slow learner hapo ufipa?
Ila tukiacha unafki watanzania tukimchagua lissu anaweza akaiuza hii nchi....
Kumbe Laizer aliibuliwa na Magufuli, Je alipewa mtaji wa mashine za kuchimba? Alipewa mtaji wa kifedha kugharamia shughuli za uchimbaji, alipelekwa mafunzo nje ya nchi? Mimi nafikiri suala la Laizer ni suala la bahati tu. Kama ni suala la sera mbona ni mmoja tu amefanikiwa? Si wangekuwepo hata 10 jamaniKuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa mtaani kila kijiwe wananchi wanajadili ujio wa Magufuli na jinsi watakavyompokea kwa kishindo.
Tangu mwaka 2015 Rais Magufuli amewafanyia makubwa watu wa Kaskazini ikiwemo kufufua reli yao, barabara za kimataifa pale Arusha pamoja na kumuibua billionea wa Tanzanite bwana Laizer.
Kwa jinsi gumzo la Magufuli lilivyo huku mtaani utafikiri CHADEMA haijawahi kuwepo kabisa kanda hii!!
Ama kweli kasi ya Magufuli itaenda na wengi, kwa heri Lema Arusha kwaheri CHADEMA kanda ya Kaskazini na karibu CCM mpya yenye kujali wanyonge.
Pole sana Mbowe baada ya kuangushwa na konyangi sasa chama chako kinaenda kuangushwa na kufutwa kabisa Kaskazini na mtumishi wa wanyonge Rais Magufuli.
Mtwala anaenda lini?Mbona CHADEMA kama hamtaki kusikia kabisa hili Jambo katika hii kanda mnayoita ni Ngome ya CHADEMA.
Uchaguzi huu CHADEMA mtafail kwa kishindo.
Hatuna mkoa/jimbo Linaloitwa "MTWALA" Tanzania hii.Mtwala anaenda lini?