Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kuna mwana Yanga mmoja hapa amesikia kuwa Kichuya atakuwepo tena kwenye kikosi cha kwanza (sio sub) amezimia
 
shida ni hiyo picha wengine wamesimama kwa nyuma, wengine wamewainamia kwa mbele, hao walioinamishwa yawezekana ndio wanao papaswa
 
Mvua ishanyesha..amani imepotea,nasikia dar kuna mvua baadhi ya maeneo
 
Tayari kusubiri Gongowazi Kupapaswa.. This is Simba
 
Hii mvua hapa town dah ndio ushirikina au
 
Dar es Salaam Young Africa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee........................Daima mbele nyuma mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…