Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikosi iki mkuu leo hawatoki ata wafanyaje, nimefurahi mno kwa icho kikosi mara nyingi akianza Buswita hua sioni anachofanya uwanjani
Hahahahaa mkuu leo andaa kabisa Panadol za kulalia usiku baada ya match, ungekua unakaa Kitunda kivule uku ningekutafuta ili ukizidiwa na mashuti ya Tshitshimbi nikusaidie walau nikupeleke hospital. Ngoma imeisha iyo YANGA tunashinda game ya leo.Kama kawaida ya Mnyama akikutana na yanga, Ushindi kwa Simbaaaaaaaaa
Hajar uko wapiiiiiiiii[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Huna App?
Au sikiliza tu redioni shem.
Nipo hapa kaka akeeeee.Hajar uko wapiiiiiiiii[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
oyoooooooooooooo!!! mpaka kieleweke leoNipo hapa kaka akeeeee.
Mtani nikupitie wapi au tuonane uwanjani....[emoji16][emoji16][emoji16] nimekuandalia leso dozen za kujifutia machoziNipo hapa kaka akeeeee.
Ttaona mkuu muda sio mrefu ntakutafuta, Ila usiwe mkali mkuu leo tuna wapiga kipigo cha Mbwa koko shuhudia hicho kipigo mkuuHahahahaa mkuu leo andaa kabisa Panadol za kulalia usiku baada ya match, ungekua unakaa Kitunda kivule uku ningekutafuta ili ukizidiwa na mashuti ya Tshitshimbi nikusaidie walau nikupeleke hospital. Ngoma imeisha iyo YANGA tunashinda game ya leo.
Sie ni watani mkuu ukinifunga kwa uhalali nakupongeza tu umenizidi uwezo leo mtani ila kwa leo mtani wangu nakushauri japo mi sio Daktari usiangalie mpiraTtaona mkuu muda sio mrefu ntakutafuta, Ila usiwe mkali mkuu leo tuna wapiga kipigo cha Mbwa koko shuhudia hicho kipigo mkuu
Ntakutafuta mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sie ni watani mkuu ukinifunga kwa uhalali nakupongeza tu umenizidi uwezo leo mtani ila kwa leo mtani wangu nakushauri japo mi sio Daktari usiangalie mpira
Tulia we mikiaKama kawaida ya Mnyama akikutana na yanga, Ushindi kwa Simbaaaaaaaaa