Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia.
Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado haitoshi.
Huenda hata vyama vya upinzani hapa kwetu vikapewa katiba wanayoililia na bado wakaona haitoshi, we learn a lot.