Namuunga mkono muzee RAO
moja, alisema kashinda uchaguzi na akatoa ushahidi ila siku msimamizi mkuu wa uchaguzi Chebukati akaingia chimbo na fasta akamtangaza mtu wake.
Muzee RAO akasema naomba mruhusu wataalam waingie kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi wawaonyeshe wizi wenu, hilo hadi leo ndg Chebukati kagoma.
Muzee RAO kawaita wadau wake akawaonyesha, wakaona, akawaita kina Wajakyo prof, akaona na akaamua kumuunga mkono.
Muzee RAO akasema Zakayo mtoza ushuru mimi nipo tayari kufa na damu yangu iwe juu yako na familia yako dhidi ya wakenya na kama mbwai na iwe mbwai, analiamsha on Monday.
Tatizo la Afrika ni aina ya wanasiasa na viongozi flani flani ambao hao ndiyo wanaovuruga nchi husika, mfano mzee RAO anachokitaka ni kama ilivyokuwa kwa mzee wetu Lowasa, yaani anataka kustaafu siasa akiwa high profile retired.