Elections 2010 Kuelekea uchaguzi: Jeshi lawatisha wananchi

Nacho shindwa kuelewa ni nini kazi za JWTZ? ni kulinda mipaka au kulinda amani ndani ya nchi?

Halafu kibaya zaidi wakati huyu MNAJIMU anaongelea hayo KIKWETE naye anaongelea hayohayo, yani kama vile walikaa kikao kimoja wakakubaliana mada ya leo hiwe hiyo!
 
Watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.

.
Green guard inayowakata raia mapanga ni ya chama gani? Yaani kama jeshi letu nalo limeamua kujiingiza kwenye siasa lisiambiwe? Ndio maana Prof Lipumba amemtaka Shimbo kuwaomba radhi wananchi kwa kutokuzingatia misingi ya kazi za JWTZ.
 
Watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.

Hanza wewe kuwakamata!
 
Wewe ndiye unashabikia ujinga,hivi toka kampeni zianze ni watu wa chama gani wanaongoza kufanya fujo kwanye mikutano ya kampeni za vyama vingine kama siyo green guard wa CCM?Na ni nani amekuwa akitoa kauli za kichochezi na kutisha watu kwa kutumia nguvu za giza kama siyo mganga wa JK sheikh Yahya Husein? Kama kuna mtu anastahili kukamatwa ni huyu mganga wa JK, yeye ndiye amesema kutakuwa na umwagaji wa damu kabla na baada ya uchaguzi.
 
Inaonyesha wengi humu aidha watapiga kura mara ya kwanza, ama wataipigia kura upinzani kwa mara ya kwanza hapokuwa tumekuwa na chaguzi 3 za vyama vingi tokea mfumo huo kurudishwa baada ya Nyerere kuupiga marufuku kwa manufaa yake ya kisiasa.

Hivyo for first timers, hizi jazba za kitoto ni normal. :tonguez:
 
Hiyo helikopta inagombea jimbo gani? Teh teh teh.

Maana tumeonyeshwa picha mbili za helikopta zikifuatiwa na picha za watu wanaoishangaa lakini ya Slaa iko moja. Lazima hiyo helikopta itakuwa inagombea jimbo hilo ndiyo maana imepewa umuhimu zaidi. Teh teh teh :tonguez:
 
sasa uchaguzi ni wa nini kama wao wana woga wa kushindwa kiasi hicho hadi kutishia wananchi? hapo hata kama sisiemu wataiba kura au wakafanya lolote lile, wanajua jeshi liko nyuma yao. kwa alichokuwa anaongea yule mwanajeshi jana, kwa upande wangu, pamoja na kwamba napenda sana amani, sidhani kama inasaidia kwasababu amani hailetwi kwa mabavu na vitisho, inaletwa kwa haki katika jamii. ukitaka kuwe na amani, hamasisha kufanya mambo kwa haki, hapo ndo amani itakuja, kama ukiwa unakiuka haki za wananchi, watu wanaona waziwazi kabisa kuwa wewe unawapiga mchanga wa macho, hata kama utawatishia bunduki, mioyo yao haitaridhika, na amani inaweza ikapatikana lakini si ya kudumu. amani ya kudumu inapatikana kwa usawa ktk jamii.

Tanzania haiendeshwi na jeshi, haiendeshwi na wanajeshi kabisa, si nchi ya kidikteta hii, na hatujafikia kiwango hicho cha kuita state of emergency.tatizo wanajeshi huwa wanataka mabavu tu kila wakati, wanafikiri kila mtu anapenda mabavu na maubabe yao, nchi zilizoendelea zinaongozwa kwa akili si mabavu. akili kichwani inaweza kujenga mnara mrefu sana utakaodumu, lakini mabavu na kulazimisha vitu itajenga kajumba kabovu tu. wanahitaji kwenda shule hawa actually na kujifunza toka kwa wenzao nchi za nje.
 
Mimi nadhani umefika wakati sasa wa Dr. Slaa kuendeleza focus ya agenda yake ya kampeni, naona sasa amekua anajibujibu tu na hiyo si lazima... akumbuke kwamba hizo hoja anzojibu ndio destructive to his focus.... UTAJIBU KILA HOJA KWELI?

Tupe sera na mipango ya kutuondolea uozo kama TRA, Bandari, reli, kilimo, elimu, afya, miundombinu, utendaji mbovu wa watumishi wa serikali, rushwa, mauaji, uchawi na ulinzi na usalama

ukishaanza kujibishana na jeshi la ulinzi, basi usitegemee kuwa amiri jeshi mkuu... WATCH OUT NOW!!!
 
kumbe umejiunga juzi baada ya kampeni kuanza. pole sana
lkn ukiichafua dini yangu. halafu wewe unifunge mdomo nisiseme aaa hao ndiopo penye ugomvi. lkn kisiasa. fanya unaloweza kufanya
he, na weew unajua ya kujiunga juzi??? na zile ID ulizozaa karibia alfu vipi?? mara naondoka mara naonewa, mara udini, mara wa juzi, mara wataingia mitini... ebo

stick to the thread
 
Dr slaa amemtaka Mna*mu akawakamate wale ambao tayari walisha mwaga damu ...then atakuwa katika nafasi ya kuongea anayoogea!! hili ni angalizo la Busara sana... Hivi ndivyo Raisi anavyotakiwa kuona na kuongea!!

Hivi Kuibia Mtanzania mamilioni ya fedha kupitia EPA...etc Huko sio kumwaga damu??? Kipi kina afadhali???
 
kumbe umejiunga juzi baada ya kampeni kuanza. pole sana
lkn ukiichafua dini yangu. halafu wewe unifunge mdomo nisiseme aaa hao ndiopo penye ugomvi. lkn kisiasa. fanya unaloweza kufanya

Sawa Mkuu, lakini ikumbukwe kujiunga zamani (2009!) si sababu. Kikubwa ni hoja (substance) katika kile kinachozungumzwa. Nadhani wanaokukosoa ni vizuri uwapime kwa hoja zao na si umri wao.

Nasubiri utishie kujitoa tena au kuweka ID nyingine.
 
Mimi nadhani umefika wakati sasa wa Dr. Slaa kuendeleza focus ya agenda yake ya kampeni, naona sasa amekua anajibujibu tu na hiyo si lazima... akumbuke kwamba hizo hoja anzojibu ndio destructive to his focus.... UTAJIBU KILA HOJA KWELI?

Tupe sera na mipango ya kutuondolea uozo kama TRA, Bandari, reli, kilimo, elimu, afya, miundombinu, utendaji mbovu wa watumishi wa serikali, rushwa, mauaji, uchawi na ulinzi na usalama

ukishaanza kujibishana na jeshi la ulinzi, basi usitegemee kuwa amiri jeshi mkuu... WATCH OUT NOW!!!

Nakubaliana nawe katika hili. Hata hivyo kuna jambo la kuona hapa. Kauli za JWTZ zinaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutishia Wananchi kutopiga kura hasa wale ambao hudhani siasa ni fujo. Kuna matukio ya Green Guard kushambulia watu na hatua zisichukuliwe. Vitu kama hivi vinaumiza sana. Kukaa kimya kwa kauli za JWTZ ni kuacha vitisho viendelee. Nimesikia Lipumba pia amelalamikia hili.

Labda niulize kitu, unadhani ni sahihi kiasi gani kwa JWTZ kuongelea suala hili katika mazingira ya sasa?
 
ni lazima jeshi liingilie kama linaona kuna tishio la vurugu wakati wa uchaguzi kama lilivyokuwa likifanya zanzibar jwtz lilikuwa likitumwa huko kuzuia fujo, na hata jeshi letu lilishatumwa comoro kuzuia mapinduzi dhidi ya rais halali hivyo kazi za jeshi sio kukaa kambini na kula na kulala tu bali wana wajibu kuwasaidia wenzao polisi ili nchi iendelee kuwa na amani!!
 
Dr slaa amemtaka Mna*mu akawakamate wale ambao tayari walisha mwaga damu ...then atakuwa katika nafasi ya kuongea anayoogea!! hili ni angalizo la Busara sana... Hivi ndivyo Raisi anavyotakiwa kuona na kuongea!!

Hivi Kuibia Mtanzania mamilioni ya fedha kupitia EPA...etc Huko sio kumwaga damu??? Kipi kina afadhali???

NIlilipenda sana Jeshi la wananchi, lakini sasa....
 
Nakubaliana nawe katika hili. Hata hivyo kuna jambo la kuona hapa. Kauli za JWTZ zinaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutishia Wananchi kutopiga kura hasa wale ambao hudhani siasa ni fujo. Kuna matukio ya Green Guard kushambulia watu na hatua zisichukuliwe. Vitu kama hivi vinaumiza sana. Kukaa kimya kwa kauli za JWTZ ni kuacha vitisho viendelee. Nimesikia Lipumba pia amelalamikia hili.

Labda niulize kitu, unadhani ni sahihi kiasi gani kwa JWTZ kuongelea suala hili katika mazingira ya sasa?

shimbo katumwa... na kila anayeijua nchi atapata wasiwasi kudhania vinginevyo!!! tumepata shida kadhaa zilizohitaji intervention yao lakini alikaa kimya, pamoja na hayo, yeye ana mpini na lazma hilo lieleweke

vita isiyo na limits haiwezekani na slaa jeshi ndio limit yake: ingekua poa kwa yeye kudharau kauli za mjeshi na kuendelea kuhimiza watu wapige kura kwa wing, wazilinde tena kwa amani ya bwana
 
Mimi nadhani umefika wakati sasa wa Dr. Slaa kuendeleza focus ya agenda yake ya kampeni, naona sasa amekua anajibujibu tu na hiyo si lazima... akumbuke kwamba hizo hoja anzojibu ndio destructive to his focus.... UTAJIBU KILA HOJA KWELI?

Tupe sera na mipango ya kutuondolea uozo kama TRA, Bandari, reli, kilimo, elimu, afya, miundombinu, utendaji mbovu wa watumishi wa serikali, rushwa, mauaji, uchawi na ulinzi na usalama

ukishaanza kujibishana na jeshi la ulinzi, basi usitegemee kuwa amiri jeshi mkuu... WATCH OUT NOW!!!

Napingana nawe. Kila hoja lazime ijibiwe tena mara moja bila kukawia, ama sivyo wadanganyika wataamini ni kweli. JK ann kiwanda kinacho-churn out hoja na ahadi za kushangaza!! Ulfuatilia hoja za Obama na McCain zilivyokuwa zinajibiwa after just a few hours?
 
noted with thanks
 
Kweli jamaa kaaibisha cheo chake. Anafaa kuitwa Mnajimu

Liwekwe wazi tunajua JWTZ ni jeshi ya waTZ kichocheo cha uvunjifu wa amani ni WIZI wa kura mbona afande anataka kushughulikia dalili (symptoms) badala kudhibiti cause ya tatizo WIZI au uchakachuaji wa kura! Tuelezwe pengine JWTZ inaunga mkono wizi wa kura ambacho kitakuwa chanzo cha vurugu kumbukeni huku uraiani wapo ndugu zenu wengi hivyo jambo jema ni kutenda HAKI naamini ninyi hamjaingia ubia na chama chochote cha siasa, au mmeingia ubia na chama kipi? Nashauri mlinde haki za wagombea WASIIBE WALA KUIBIWA KURA ZA VYAMA VYAO. Mnadhimu Mkuu usitujenge hofu kaa pembeni tumchague Rais atakayetufikisha kwenye nchi ya AHADI mahali ambapo kwa pamoja SISI NA WEWE TUTAKOMBOLEWA 31/10/2010 mambo mengine muachie IGP :rain:
 
HUYU SHIMBO NI NANI AU KIBARAKA FISADI. MWAKA HUU NA ESPECIALLY TAREHE 31.10.2010 TUNA UCHAGUZI NA SIO VITA. KAMA ANASEMA KUVUNJA AMANI AENDE MSTARI WA MBELE SOMALIA SAMBAMBA NA RWANDA NA UGANDA. ASILETE ZA UPUUZI HAPA! BOSI WAKE KESHA MWAGWA!! TAARIFA YAKE HAITOFAUTIANI NA YA JAAMA WA DAILYNEWS. KAMA KIKAO KIMOJA VILE!!😛reggers:
 
Back
Top Bottom