Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.

he, na weew unajua ya kujiunga juzi??? na zile ID ulizozaa karibia alfu vipi?? mara naondoka mara naonewa, mara udini, mara wa juzi, mara wataingia mitini... ebokumbe umejiunga juzi baada ya kampeni kuanza. pole sana
lkn ukiichafua dini yangu. halafu wewe unifunge mdomo nisiseme aaa hao ndiopo penye ugomvi. lkn kisiasa. fanya unaloweza kufanya
kumbe umejiunga juzi baada ya kampeni kuanza. pole sana
lkn ukiichafua dini yangu. halafu wewe unifunge mdomo nisiseme aaa hao ndiopo penye ugomvi. lkn kisiasa. fanya unaloweza kufanya
Mimi nadhani umefika wakati sasa wa Dr. Slaa kuendeleza focus ya agenda yake ya kampeni, naona sasa amekua anajibujibu tu na hiyo si lazima... akumbuke kwamba hizo hoja anzojibu ndio destructive to his focus.... UTAJIBU KILA HOJA KWELI?
Tupe sera na mipango ya kutuondolea uozo kama TRA, Bandari, reli, kilimo, elimu, afya, miundombinu, utendaji mbovu wa watumishi wa serikali, rushwa, mauaji, uchawi na ulinzi na usalama
ukishaanza kujibishana na jeshi la ulinzi, basi usitegemee kuwa amiri jeshi mkuu... WATCH OUT NOW!!!
Dr slaa amemtaka Mna*mu akawakamate wale ambao tayari walisha mwaga damu ...then atakuwa katika nafasi ya kuongea anayoogea!! hili ni angalizo la Busara sana... Hivi ndivyo Raisi anavyotakiwa kuona na kuongea!!
Hivi Kuibia Mtanzania mamilioni ya fedha kupitia EPA...etc Huko sio kumwaga damu??? Kipi kina afadhali???
Nakubaliana nawe katika hili. Hata hivyo kuna jambo la kuona hapa. Kauli za JWTZ zinaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutishia Wananchi kutopiga kura hasa wale ambao hudhani siasa ni fujo. Kuna matukio ya Green Guard kushambulia watu na hatua zisichukuliwe. Vitu kama hivi vinaumiza sana. Kukaa kimya kwa kauli za JWTZ ni kuacha vitisho viendelee. Nimesikia Lipumba pia amelalamikia hili.
Labda niulize kitu, unadhani ni sahihi kiasi gani kwa JWTZ kuongelea suala hili katika mazingira ya sasa?
Mimi nadhani umefika wakati sasa wa Dr. Slaa kuendeleza focus ya agenda yake ya kampeni, naona sasa amekua anajibujibu tu na hiyo si lazima... akumbuke kwamba hizo hoja anzojibu ndio destructive to his focus.... UTAJIBU KILA HOJA KWELI?
Tupe sera na mipango ya kutuondolea uozo kama TRA, Bandari, reli, kilimo, elimu, afya, miundombinu, utendaji mbovu wa watumishi wa serikali, rushwa, mauaji, uchawi na ulinzi na usalama
ukishaanza kujibishana na jeshi la ulinzi, basi usitegemee kuwa amiri jeshi mkuu... WATCH OUT NOW!!!
noted with thanksNapingana nawe. Kila hoja lazime ijibiwe tena mara moja bila kukawia, ama sivyo wadanganyika wataamini ni kweli. JK ann kiwanda kinacho-churn out hoja na ahadi za kushangaza!! Ulfuatilia hoja za Obama na McCain zilivyokuwa zinajibiwa after just a few hours?
Kweli jamaa kaaibisha cheo chake. Anafaa kuitwa Mnajimu