Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuilewa misimamo ya Zitto! Siku si nyingi alikuja hapa ukumbini akizungumzia kustaafu siasa ili aweze kutumikia profession aliyoisomea, mara anagombea uenyekiti wa Taifa Chadema, sasa amejitoa sijui atakuja na lipi?
Mbowe na Ndesamburo ndo wafadhiri wa CHADEMA sasa hiyo demokrasia inakujaje?
Na hata siku CHADEMA ikichukua nchi ndo mtawajua ndugu zetu wa kaskazini walivyo. Hawa walimshida mwl. nyerere pamoja na kuwabana lakini angalia pesa za maendeleo zilikuwa zinaishia mikoa hiyo hasa kilimanjaro. Sasa wakishika madaraka tutakoma sisi wa kibondo ambao hata chini ya CCM tunakiona cha moto.
Sisemi wachaga kuwa na chama ni vibiya lakini tatizo ni kwamba chama (CHADEMA) walikianzisha kwa fedha zao, utawaambiaje leo eti demokrasia wakati walikukaribisha tu wewe na hukuchangia chochote???-hili ni swali kwa zitto.
Something is seriously wrong somewhere.
kama ni kweli Zitto alichukua na kurudisha form kama 'mgombea binafsi' kama anavoema Ngurumo, ninapata shaka sana na mshikamano let alone collective responsibility ndani ya CHADEMA.
Hili bado lina kawingu flani hivi, kwa nini aliamua (Zitto) kufanya hivo, i.e kugombea kwa namna alivofanya? Nadhani hili linahitaji ufafanuzi wa kina ili kuniondolea wasi wasi ambao umeanza kujijenga dhidi ya nia yake hasa ya kugombea uenyekiti.
Watu waache ujinga wa kuzungumzia uchagga , cause this issue has got nothing to do with ukabila. It can be plainly seen that Zitto's head is getting to big and he is unknowingly being used, by the few elites, to demolish Chadema. Before Zitto instigated this mayhem, Chadema's credibility as well as popularity was growing like Californias fire; but now the situation will never be the same.
It is important also for other member to look at this issue critically before jumping on the bandwagon. Zitto is not matured enough to contend for that position; Wahenga once said, Longevity is virtue. This guy is plainly ill-advised; if he wants to be successfully in politics then he has to be humble and patient. The party's interests should always precede individual's interests. Another thing that ought to be looked at is Zittos personal life, is he married? If the answer is no then he should do that first.
once again zito is rocking the boat.....Watu waache ujinga wa kuzungumzia uchagga , cause this issue has got nothing to do with ukabila. It can be plainly seen that Zitto's head is getting to big and he is unknowingly being used, by the few elites, to demolish Chadema. Before Zitto instigated this mayhem, Chadema's credibility as well as popularity was growing like Californias fire; but now the situation will never be the same.
It is important also for other member to look at this issue critically before jumping on the bandwagon. Zitto is not matured enough to contend for that position; Wahenga once said, Longevity is virtue. This guy is plainly ill-advised; if he wants to be successfully in politics then he has to be humble and patient. The party's interests should always precede individual's interests. Another thing that ought to be looked at is Zittos personal life, is he married? If the answer is no then he should do that first.
Hongera Zitto kuleta ushirikiano kwa kujitoa Kugombea...ila wadau tusishangae Ushirikiano utakaoletwa na Akina Sitta na Wenzake. ktk Kikao cha Bunge lijalo October..!!!
Ila Chadema tuhuma za kuwapa Wanachama wenzenu kuwa wanatumiwa ni Mbaya sana...hazitofautiani sana na CCM ambao wamewatuhumu akina Sitta Kutumiwa...!!!
Mkuu umenifumbua macho, hivi kumbe dogo anataka kuongoza chama hana familia ya kwake mwenyewe? Hivi Katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu hili??
Maelezo ya Ngurumo yamekaa kama vile Zitto mwaka 2005 alikuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya chama. Sasa kama kitu kama hicho anachotaka kukifanya Zitto kilifanyika na Mbowe mwaka 2005, hapa tatizo liko wapi? Walifanya nini kuibadili hiyo hali? Waliweka MIIKO kwenye katiba ili kutokuruhusu WEZI na VIBAKA kuingia ndani ya chama?
Naamini wanaosema kuwa kwa hali ilivyo sasa, basi Mbowe pia angelijitoa kwenye uchaguzi huo. Na hapo angelibaki akiomba mambo yasiwe mazuri sana ndani ya CHADEMA kwani uchaguzi ujao angelifanya Bounce back ya Zuma. Angelirudi kuwa Mwenyekiti kwa NGUVU kubwa zaidi. Sasa kwa MWENDO huo nasema:
"Zitto kaa pembeni. Subiri uchaguzi ujao na kama Mbowe ataboronga basi kutakuwa na haja ya KUUBADILI uongozi wa KICHAGA au kuanzisha Chama kipya ambacho hakitakuwa KINA MWENYEWE ila cha WANACHAMA. Kuanzia mwanzo lazima ijulikane hivyo.
CCM ni cha Nyerere na WANAE/wajukuu wake .......
CHADEMA cha Wachaga (Mtei na wenzake na sasa wamempa Mbowe/mkwe)......
CUF cha Maalim Seif na kaka Lipumba kawekwa PICHA .......
Vyama vingine wala sina la kusema.......
Chama cha kweli cha WATANZANIA kinahitajika bila ya kuruhusu TAJIRI yoyote kukidominate.
Wana JF si kawaida yangu kuandika sanasana na imenilazimu leo... Tangu zamani niliamini kuwa CHADEMA kinaweza kuwa chama cha 'Demokrasia' na daima kitaruhusu 'Demokrasia' kuchukua mkondo wake lakini tunapoelekea inaelekea sivyo.
Naam, nazungumzia kikao kilichofanyika leo na 'wazee' wa CHADEMA kuanza 'kumshinikiza' Zitto Kabwe kuondoa jina katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti.
Ndiyo, nilikuwa sioni sababu ya Zitto kugombea mwanzoni lakini kwakuwa alishaweka jina nilitarajia atapewa nafasi kuweza kudhihirisha kuwa demokrasia imeweza kuchukua mkondo wake ndani ya CHADEMA.
Nasisitiza, napinga kwa sana njia hii inayotumika kuhakikisha Freeman anabaki mgombea pekee, inawezekana kwa maslahi ya chama chenu mmefanya hivyo kukinusuru chama (kama mnavyodhania) lakini binafsi (si msimamo wa JF) naamini ndio mnakizika chama... Bado mna muda, mwacheni Zitto agombee na akishindwa ashindwe kidemokrasia...
Kama ni kuondoa basi wote wawili (Zitto na Freeman) waondoe majina na ifikiriwe namna mpya.
Katika hili, mmechemsha!

Zitto ameoa na nadhani ana mtoto
Sasa ni shetani gani amekushika wewe na hayo makabila mengine (kama kweli mambo ni kama unavyofikiri) mkashindwa kuanzisha chama chenu?? Unangojea kutafutiwa, kutafuniwa ili umeze siyo?
Naona na sisi Wanyamwezi tuwe na chama chetu.........
Sheria zazu zitakuwa SIMPLE. Kibaka anapelekwa ISELA-MAGAZI. Hapo mtu atachzwa na Sungusungu hadi aseme aliiba kiasi gani na nani washiriki wake.
Neno kibaka halitajali KABAKA wapi. Hata wavaa suti na kubaka kwa kalamu, ni vibaka tu.