Leo mbona tutafaidi ma blogu ya chadema...
Ungekuwa unatoa hoja zako honestly naamini ungepitia makala niliyoandika katika hiyo blog hapo na ukajua kwa nini nasimama katika mstar huu hapa. Tatizo kwa kuwa mna utando wa kufikiri na muono wenu wa kisiasa unakuwashaped na CNN zenu tu basi mmekuwa wazembe kiasi cha kuja na conclusion zilizojichokea.
Alipochagua kuingia ndani ya tume ya madini kujua ukweli wa hali ilivyo katika sekta hiyo na kupata nafasi ya kuingiza maoni yake humo ambayo mengi yapo katika ripoti hiyo mkamuona kalaghaiwa na Kikwete.
Alipoamua kusimama kushindana na Mbowe mnakuja na kutumia na CCM na hao MAFISADI wenzenu ambao walichowazidi ni kuwa wao wana access zaidi yenu na hivyo kufaidika kuliko ninyi kama aliyosema PENGO.
Sasa amekuja hapa kuwaeleza kuwa mbinu zenu za kusambaza sumu na kumfrustrate kama mlivyozoea kuwafanyia wengine hapo awali haziwezi kuwasaidia zaidi ya kuwaumiza wenyewe mnakimbilia kuwa anatoa siri. Nani kasema mtanzania hapaswi kujua siri chafu kama hizo?
Aliposimama kupinga kutumika katika spining ya CCM inayoongozwa na Mwakyembe na wenziwe kuwadanganya watanzania kuwa there is a hope in CCM mkakimbilia kuwa amenunuliwa.
Cheap minds, cheap conclusions, cheap spinings
Kuhusu UMALAIKA kamwe sina imani za kuamini kuna kiumbe hapa duniani anaweza kuwa na umalaika na ndio maana mimi na yeye huwa tunatofautiana mengi sana na huwa namweleza bila ya kusita. Sasa mnataka muendelee kumwaga sumu zenu hapa halafu mnategemea ninyamaze. La hasha, hilo halitawezekana kama ambavyo mbinu zenu za kumchanganya ili awazilie chama ama mumfanye mliyoanza kuyazoea.
omarilyas
Nakubaliana nawe kuwa Jesse Kwayu na Kibanda ni watu makini lakini kukubali kufuata maelekezo ya kummaliza RAFIKI yao kwa shinikizo la mabosi wao haliwezi kuachwa kwa sababu ya hulka ya umakini wao...Mbona mwenzao amerebel? Lakini pia historia yao si unaijua....Omar
Kama Kubenea, Kibanda, Ansbert Ngurumo na Jesse wanampinga Zitto katika haya anayoyafanya ni watu makini zaidi ambao nawaunga mkono kwa hoja zao kuliko Balile, Muhingo, Msacky na Charles Charles wanaomtetea.
Hapa alikosea....naamini alikuwa akihoji ni vipi magazeti yanayomshambulia yote yanamilikiwa na mtu anayetoka kabila ama mahala pamoja na bosi wake Mbowe ambaye wameshindana...Lakini leo Zitto badala ya kujibu hoja za Nipashe anamtuhumu Jesse kwa kuwa ni mmachame!
Kama wengine wanatumia ukabila kufanikisha mbinu zao chafu dhidi yako na wewe ukasema kuwa wanatumia ukabila unakuwa na chembe za ukabila basi hapo utatuhukumu wengi....Na pia inaelekea humjui vizuri ZittoInaelekea Zitto ana chembe za udini, ukabila na ubaguzi;
Kilichomtokea Zitto kwenye kamati ya madini ya Kikwete anakijua mwenyewe na nadhani ni wakati muafaka wa Kikwete kulipa fadhila kwa Zitto.
Omar,
Unaandika haya yote kama msemaji wa Zitto au unaongea kwa niaba yako mwenyewe?
Zitto anadalili za U-Augustine Mrema.
Kweli kabisa ... sasa inasubiriwa tu ni wizara gani atapewa maana toka aimalize issue ya Buzwagi kiaina kwa kuingia kamati ya Kikwete, wakulu wa chama la kijani walikuwa wanamuandalia zawadi ya nguvu.
Wakuu zangu,
Mtasema yooote mabaya kuhusiana na Zitto lakini ukweli utabakia kwamba Zitto nimtu makini sana ktk Uongozi. Tatizo la Zitto ni uchungu mkubwa ambao humpa hasira akashindwa kujizuia..Ni kama maradhi ambayo huibuka tu pale anapoguswa sehemu za kipimo cha imani yake kwa wananchi.
Nimezungumza na watu wengi sana wanaomfahamu Zitto na wengi wanakiri kuwa hakuna mtu msafi ktk Bunge letu zaidi ya Zitto hata ndani ya chama chake mwenyewe. Hupokea posho na malipo mengine kwa kufahamu kuwa ni poshio au malipo halali ya huduma zake lakini kamwe Zitto hawezi chukua cha juu ili kushinikiza muswada au hoja Bungeni au nje.
Kwa hiyo wakuu zangu tumpeni sifa yake ndugu yetu Zitto na tumseme pale anapokosea kwani mwenzetu mdomo wake hauna break kama Mkandara anapoguswa hapa JF.. simwachii mtu ktk uwanja huu mdogo lakini hata siku moja siwezi kuropoka, kukurupuka ovyo inapofikia maswala mazito kama haya. Kibanda anamjua vizuri Zitto na alifanya makusudi kumtoa nyoka Pangoni huku akisubiriwa na panga..Maskini wa watu Zitto akatoka huko alikokuwa bila kuangaza hook waliyoiweka ajinyonge.
Mambo yote haya toka Zitto kujiandikisha hadi kujitoa na matusi mengine yote yamekuja ghafla kwa kasi kubwa kiasi kwamba inanipa wasiwasi sana na vikundi vinavyoibuka ndani ya Chadema.. Inawezekana kuwa wao ndio Mafisadi maanake kwetu Ukerewe wanasema ukimsikia mtu akisema sana kuhusu Wachawi basi jua yeye ndio mchawi nambari moja. Pia inawezekana kuwa hawa jamaa zangu kina Kibanda ni waoga wa maisha.. wakisikia hata Unyasi ulopepewa huruka maili nzima wakifikiri akuna Nyoka kumbe wasiwasi yao wenyewe.
Nina hakika Viongozi wa Chadema watayaweka mambo yote sawa..
Hiyo demokrasia inayoliliwa na wengi haiwezi patikana nchi yoyote duniani..Unataka kugombea Uenyekiti ni lazima uwe na sifa fulani na Zitto hana.. Zitto hawezi kugombea Urais nchini kwa sababu yuko chini ya umri unaotakiwa.. sasa msinambie eti hakuna Demokrasia kwa kuwepo na Umri ktk kinyanganyiro cha Urais.
Binafsi nitaendelea kuheshimu maamuzi ya chama chochote kile iwe CCM au Chadema inapofikia mgombea ktk kukiongoza chama kwa sababu kila chama kina mipango yake, sheria zake, taratibu zake na kadhalika..Jambo la mwisho nitakalo mshauri ndugu Zitto ni kwamba ktk siasa hutakiwi mashambulizi kama haya ya kina Mama Clinton..
Una jambo rohoni lifikishe ktk vyombo vinavyohusika na kama halikupatiwa ufumbuzi well utajua umesimama wapi kimya kimya mwanaume unatafuta uwanja mwingine!.. Tupo wengi tu tutakufuata ila jaribu kupunguza jazba maanake kama ingekuwa ushahidi mahakamani mkuu unalia jela sasa hivi kwa makosa ambayo hukuyafanya.
Dilunga,
Mkuu wangu Zitto katupiwa Chambo na akakimeza bila kujua kuna ndoana ya Papa.. . Sii yeye aloanza kuzungumzia habari za Udiini na Makabila ila ukisoma maelezo mengi yaliyotangulia yamemweka yeye kuwa Ni mtu wa Kigoma na yule mgombea wa vijana pia ni mtu wa Kigoma, Mama yake ni sijui nani wa Kigoma..Hivyo ikabidi ajisafishe kwanza kumbe ndio walitaka aingie ktk uwanja huo..
Sasa ukikuta mtu mhuni kama mimi nitaweka yangu vile vile yanayolingana na uzito wa hoja kama hizi lakini kosa kubwa la Zitto kacheza bila viatu Uwanja wa taifa.. matokeo yake kapigwa njumu na ngwala kibao kiasi kwamba sasa hivi yuko nyumbani anachua maumivu yake..
Mimi naweza kuongopa chama Chadema kuwa cha Udini na Ukabila kuliko kumwogopa Zitto mtu mmoja kwani inahitaji kuwa na nguvu (Power) for one to practice ubaguzi huo..Na nachelea kusema inawezekana kuwa Zitto ni kikwazo cha baadhi ya watu wanaotaka kujenga Udini ndani ya chama Chadema hivyo anaanza kutafutiwa sumu yake. Hizi pia ni habari ambazo nimezipata kwamba Udini umeingia sana Chadema hasa kutokana na maswala ya waraka!..
Inatisha na nawaomba viongozi wa chama hiki kujichunga sana na tuhuma kama hizi kabla hazijafika mikoani..
Dilunga,
... Sii yeye aloanza kuzungumzia habari za Udiini na Makabila ila ukisoma maelezo ...
. Hata mama mtu akikuta watoto wanagombana anaweza kumuwashia moto mkubwa mdogo asiguswe japo ndio aliyeanzisha ukorofi, why, because mkubwa should know better, mkubwa has heavier responsibilities. Umeona Mbowe alivyotulia?
Kuna mstari kwenye biblia unaosema something to this effect: "watu wangu wanaangamia kwa kukosa hekima".
Analipa fadhila za maisha ya siasa za Daruso. Ni lazima afanye vizuri kazi ya Bosi wake!
[/B][/COLOR][/SIZE]
Nani kasema kuwa Masatu ni mtu wa Musoma? Musoma haina mafisadi kama Masatu, huyu atakuwa tu mtu wa kisiwani mafia.
Mmezijua mbinu hizo na nani? ha ha ha ... punguza muda huko madrasa za suicide bombings labda utapata cha maana cha kuandika
Mkuu nakubaliana na wewe 100% na ndio maana mimi nimekuwa mstari wa mbele kumlaumu Zitto. Najua makosa alofanya na pengine kinachomwangusha nikile kiburi cha mzee wetu Wassira(Tyson) isipokuwa yeye akitumia mdomo..Unajua Mkuu Mkandara, Zitto hatumpimi kwenye mizani ile ile tunayopimiwa kina Dilunga na wewe na sijui Sikonge, Mwafrika etc. Why, because who the hell is Dilunga? Who the heck is Chuma or SerayaMajimbo sijui MpakaKieleweke? Vivuli vya watu tu! Au some sleazy editors ambao have nothing to lose na zogo la CHADEMA. Kina Kilanda ni wahariri wanaotaka kuuza magazeti tu. Zitto ni kiongozi mwandamizi wa upinzani, na mheshimiwa mbunge. Hawezi kutupiwa jiwe na sijui Eric Ongara, Kilanda, halafu akarudishia vijembe vya kikabila tukasema hakuanza yeye. Zitto ndio mkubwa kisiasa. Hata mama mtu akikuta watoto wanagombana anaweza kumuwashia moto mkubwa mdogo asiguswe japo ndio aliyeanzisha ukorofi, why, because mkubwa should know better, mkubwa has heavier responsibilities. Umeona Mbowe alivyotulia?
Zitto amelikoroga.
Zitto amezungukwa na kina nani hivi? Kina Kikwete na Edwin Mtei? Ndio wanao mshauri njia? I mean, the man needs somebody to tell him Zitto mdogo wangu, siku nyingine ukija kwenye maskini za kisiasa don't drug your mother with you! Just don't let your mother speak for you, they gonna drug you and your mother into the mix! Umeona headlines za leo? "MAMA ZITTO AFYATUKA"! Sio Bi. Shida Salum, Mwenyekiti wa Walemavu, no, "Mama Zitto amfyatukia Dr. Slaa!" mara sijui "First Lady".... nikadhani First Lady wa JF, kusoma nakuta Mama Zitto, I said damn, this thing done gotten cuckoo now!