Well, akisema yuko decisive atakuwa ana parse words kitu ambacho ni moja ya sifa za wanasiasa. Hata ni-fool mtu kama mimi kwa sababu siko shabby katika huo mchezo wa semantics na syntax.
Unapotoa kauli za kwamba hutagombea tena kiti chako cha ubunge kwa sababu unataka kurudi shule huku ukijua wewe ni mmoja wa wabunge wachache wa upinzani bungeni na kuondoka kwako hakutakuwa na guarantee kuwa nafasi yako itashikwa na mbunge wa kambi ya upinzani na baada ya watu kulalamika unabadili uamuzi wako. Baadae unajiingiza ulingoni kugombea uenyekiti wa chama chako halafu unakacha baada ya kushinikizwa. Bluray, huoni kwamba huyu jamaa akipewa shinikizo kidogo tu anakacha?
Au ngoja nikuulize hivi ingawaje wewe huenda siyo mseamaje wake. Hivi ni nini kilichomfanya abadili uamuzi wake wa kutogombea tena? Zilikuwa ni kelele za watu waliomtaka abadili uamuzi au ulikuwa ni uamuzi wake binafsi na wa dhati?
Ndio maana nasema pengine tuanze kuhoji judgement ya mheshimiwa wetu huyu....
Mimi always ninaheshimu mtu anayeweza ku update decisions na decision making process kutokana na new information anazopata, na huwa naona mtu aliye rigid na asiyeweza kubadili maamuzi despite kupewa info mpya zinazo suggest the contrary kuwa ni disastrous.
It is just scientific thinking, hili ni battle kama la Galileo vs Aristotle au Copernicus vs Ptolemy.
Kwa hiyo siwezi kuingia katika details za kwa nini anabadilisha uamuzi, na wala si msemaji wake (although by now if he knows whats good for him he needs to hire me, lol
🙂 ) Lakini ninachoweza kusema ni kwamba the mere fact kwamba mtu kabadili uamuzi hakinitishi kwamba huyu hafai kwa sababu ni flip flopper.
Nitakachoangalia ni kwamba, je uamuzi wa kwanza na huu mpya upi ni bora zaidi given the current state of affairs? kama mtu anatoka kwenye uamuzi mzuri na kwenda kwenye uamuzi mbaya, obviously decision making process yake ina matatizo.
Lakini kama anaimprove mambo hata kama anabadilisha uamuzi mara elfu moja kwa siku poa tu.
Ukiwa na database inayofanya trading kwenye stock exchange online based on available information (prices, availability fees etc) utataka information inazotumia iwe updated constantly au ibaki rigid?
Utaona kwamba the quality of a decision is subject to the quality of information, and if information keeps on changing, the decison needs to change to reflect the information.
So I have absolutely no qualms about the so called "flip-flopping".Labda mtu aniambie kuwa hii inasababisha move kutoka decision nzuri kwenda decisoin mbaya.