Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.
Mkuu swali lako mbona majibu unayo unataka nini?

For any how anywhere, lazima kuna makundi, hata JKN hakupendwa na wote, babu yangu alimchukia kiasi cha kuwa akimuona tu anataka amrushie kiatu!

Maswali yako siyo magumu kiasi hicho, kama amejitoa kitu gani kinakufanya uwaze atakigawa chama na hukuwaza hivyo wakati anachukua form, unataka kusema wewe ni walewale wanaosubiri jambo litokee na sio kutabiri

after all unamshauri nini ? na kwa nini??

Mkuu majibu sina. Mimi si mtabiri. Ni Mchambuzi tu. Nilishawaza alipochukua fomu. Ila sikuweza kumhoji. Alikuwa huko Ujerumani. Sasa naona amerudi. Ndio maana nimemuandikia. Nitamshauri akishajieleza kwanza. Unauliza kwa nini? Ili tulinusuru Taifa. Vijana ndio viongozi. Wa leo leo. Si wa kesho.
 
Zitto kwa kuweka manyanga chini pale ambapo ana kila haki ya kuendelea ameonyesha nidhamu, uvumilivu na humility ya hali ya juu.

Others may see it as being a sign of weakness i.e. folding easily under pressure, lacking tenacity and backbone to stay in the fight till the end.

What one sees as a flip-floper, another sees as a pragmatic thinker who constantly updates his decision by acquiring new input.

I would rather have somebody who changes his target every second as the target moves, than someone with a rigid aim at a moving target.

Okay, it's all about the way you (collective you, of course) see it and I can respect that.

But for me, I'd rather have a leader who knows what he wants do, who has steadiness than the one who changes every minute depending on how he wakes up. How can you go from I'm quitting politics so I can concentrate on school only to come back and renege and even go as far as to try and add another hat to your collection of responsibilities by throwing yourself in the ring for the chairmanship and fold after being pressured? So what's next for him? What's his next move? Switch over to CCM? That's not a steady leader to me....SORRY!
 
Last edited:
..maswali haya ni ya msingi.

Lakini yanajibika vizuri tu

Mbona yameshatolewa maelezo na kuoneshwa uwezekano wa kujibika vizuri tu?

Kama Zitto akijibu sawia na hapo juu mtamwambia nini?
 
Neither,

Naonyesha weakness katika maswali yako tu.

Asante. Kwenye siasa kuna makosa yasiyo ya msingi na yanayozuilika(unnecessary/avoidable mistakes). Haya yanapaswa kutotokea au kutokea kwa nadra sana. Hivyo ni lazima wanasiasa wajiepushe na haya kwa kadri ya uwezo wao wote. Na hata yakitokea yanapaswa kuwekwa sawa ili yasitokee tena katika maisha yao ya kisiasa.
 
Fidel80
Husiwe mjinga hivyo ishu hapa sio DOWANS bali the real ishu hapa ni UCHAGGA
ishu sio uchaga bali uoga wa maendeleo ya wachaga......
mchaga aliyewahi kushika nafasi ya juu ni mrema lakini wa TZ wamekuwa wanawapinga wa chaga utasema wao wameshawahi kutawala..
ukishatoka kwenye uchaga nenda cuf ukaseme upemba ndio ivyo itakavyokuwa
jitahidi kwenye maisha na sio kukaa na kulalama wachaga wachaga....
 
"He who fights and run away, live to fight another day" -Udall Erasmus' Apophthegms ii. 335V.

Juzi katika commentary za maisha ya Senator Ted Kennedy commentators walimsifia ksana kwa his sense of compromise, wakam contrast na the firebrand orator that was his brother Bobby na kuona kuwa ingawa Bobby alikuwa na oratory kali kuliko Ted, lakini hakufanikiwa sana - nahuenda hata aliuawa- kwa sababu ya kutotaka compromise.

Kwa hiyo kama alivyosema Kenny Rogers katika " The Gambler's Song"

You got to know when to hold 'em, know when to fold 'em,
Know when to walk away and know when to run.
You never count your money when you're sittin' at the table.
There'll be time enough for countin' when the dealin's done.
 
Asante. Kwenye siasa kuna makosa yasiyo ya msingi na yanayozuilika(unnecessary/avoidable mistakes). Haya yanapaswa kutotokea au kutokea kwa nadra sana. Hivyo ni lazima wanasiasa wajiepushe na haya kwa kadri ya uwezo wao wote. Na hata yakitokea yanapaswa kuwekwa sawa ili yasitokee tena katika maisha yao ya kisiasa.

Unfortunately makosa haya hayakuonyeshwa na maswali hayo.
 
"He who fights and run away, live to fight another day" -Udall Erasmus' Apophthegms ii. 335V.

Juzi katika commentary za maisha ya Senator Ted Kennedy commentators walimsifia ksana kwa his sense of compromise, wakam contrast na the firebrand orator that was his brother Bobby na kuona kuwa ingawa Bobby alikuwa na oratory kali kuliko Ted, lakini hakufanikiwa sana - nahuenda hata aliuawa- kwa sababu ya kutotaka compromise.

Kwa hiyo kama alivyosema Kenny Rogers katika " The Gambler's Song"
Duh, yaani jamaa ni kama Gambler! mbona unazidi kunitisha!
 
Duh, yaani jamaa ni kama Gambler! mbona unazidi kunitisha!

Sijasema jamaa ni kama gambler, nimetumia lyrics za Gamblers song kufikisha ujumbe wa kujua kila kitu kinataka timing, hiyo hata that badazz general Patton alikijua.

Hapa hujaiona psychology na pragmatism iliyo katika hii gambling. Kitu chochote kinachojumuisha an unknown outcome kina degree ya gambling.
 
"He who fights and run away, live to fight another day" -Udall Erasmus' Apophthegms ii. 335V.

Juzi katika commentary za maisha ya Senator Ted Kennedy commentators walimsifia ksana kwa his sense of compromise, wakam contrast na the firebrand orator that was his brother Bobby na kuona kuwa ingawa Bobby alikuwa na oratory kali kuliko Ted, lakini hakufanikiwa sana - nahuenda hata aliuawa- kwa sababu ya kutotaka compromise.

Kwa hiyo kama alivyosema Kenny Rogers katika " The Gambler's Song"

Teddy was not a flip-flopper. Everybody knew where he stood on the issues and he was a proud (self proclaimed?) liberal! What you saw is what got from him. There was no facade about his politics. He wasn't, for example, pro life today and pro choice tomorrow depending on where the political wind was/is blowing. No, that was not Ted Kennedy. At least not the Ted Kennedy I knew of.

His sense of compromise was a mark of his negotiating skills. Nothing less nothing more. You can't say that about Hon. Zitto....
 
ishu sio uchaga bali uoga wa maendeleo ya wachaga......
mchaga aliyewahi kushika nafasi ya juu ni mrema lakini wa TZ wamekuwa wanawapinga wa chaga utasema wao wameshawahi kutawala..
ukishatoka kwenye uchaga nenda cuf ukaseme upemba ndio ivyo itakavyokuwa
jitahidi kwenye maisha na sio kukaa na kulalama wachaga wachaga..

Sasa wewe maendeleo gani umejitahidi?Swala hapa ni uchagga,Chadema ni chama cha wachagga na hii haitaji kuwa na akili nyingi kujua
 
Teddy was not a flip-flopper. Everybody knew where he stood on the issues and he was a proud (self proclaimed?) liberal! What you saw is what got from him. There was no facade about his politics. He wasn't, for example, pro life today and pro choice tomorrow. No, that was not Ted Kennedy. At least not the Ted Kennedy I knew of.

His sense of compromise was a mark of his negotiating skills. Nothing less nothing more. You can't say that about Hon. Zitto....

How do you know that Hon Zitto is currently outnumbered and outmaneuvred and therefore the blows he would have sustained in a ruckus with Mbowe would do more harm than good to his agenda, and that Hon Zitto is not surrendering, but merely reorganizing?

Mimi nakataa kuona hii kama flip-flop/ defeat wakati the alternative was kukiweaken chama na wao wote wawili (Zitto Mbowe). So instead Zitto kaamua ku bow out gracefully and humbly in the interest of CHADEMA and his reorganization.

If anything ameni reasure that he is not prone to some Mremalike buffoonery ya kujifanya anaweza kupigana na machinery ya chama chake wakati hana the necessary wherewithal.His realistic pragmatism is to be admired, not shunned.
 
Bluray,
Mkuu wangu kuoa ni part ya experience ktk responsibility ya Kiongozi..Sasa ikiwa wewe hutaki kuoa kwa sababu ambazo hazijulikani na pengine ni siri yako basi bila shaka hata ktk Uongozi wa chama sii siri tena ya wananchama kukuwekea shaka wewe na Ukapela wako. Pengine hupendi wanawake kama mke, sasa nani mbaguzi hapa wewe ulokataliwa kwa kutopenda wanawake au wale waliokukataa kwa sababu hupendi wanawake! maanake hili neno choice na uhuru wa mtu unaleta shida sasa hivi.

Haya maswala ya ubaguzi wa rangi, kabila na mengineo mkuu wangu tunayavuta sisi wenyewe..Kwa sababu sioni kama kuna Ubaguzi wowote ikiwa dada yangu akikukataa wewe kwa sababu wewe sii Mkerewe au Muislaam ila ni chaguo lake na ana kila haki kumchagua mume ampendaye kuongozana naye ktk maisha yake.
Na Posa kuzuiliwa mlangoni haina maana hupendwi au unachukukiwa isipokuwa zipo sababu nzito zaidi ya chuki na Demokrasia ambazo zinaweza kuondoa posa yako mlangoni ikiwa ni pamoja na huwezi kumchumbia dada yako mwenyewe..
Mkuu Mkandara,Mwanafalsafa Socrates aliulizwa na mwanafunzi wake,'Mwalimu,kipi bora kuoa au kutokuoa'? naye akajibu akasema 'either way you will regret'.Siamini na wala sikubali kwamba kuwa na mke/mume ni kielelezo tosha cha mtu kuwa responsible na kutokuwa na mke/mme ni kielelezo cha mtu kuwa irresponsible,maana kama ingelikuwa hivyo Marehemu Dr.Chagula(RIP) asingepewa nafasi nyeti za Uongozi wa nchi hii.
 
How do you know that Hon Zitto is currently outnumbered and outmaneuvred and therefore the blows he would have sustained in a ruckus with Mbowe would do more harm than good to his agenda, and that Hon Zitto is not surrendering, but merely reorganizing?

Lol...what's Zitto's agenda? I don't know. He's been all over the place lately.

Any blows he would have sustained would have done him good. They would have toughened him up. That's why I don't understand why folded the way he did. It's a democracy, afterall.

When Hillary refused to drop out of the nomination race, it was a blessing in disguise for Obama. Why? Because Hillary threw everything including the kitchen sink at him, in the process toughening him up and preparing him for the Republican onslaught in the general election.

Mimi nakataa kuona hii kama flip-flop/ defeat wakati the alternative was kukiweaken chama na wao wote wawili (Zitto Mbowe). So instead Zitto kaamua ku bow out gracefully and humbly in the interest of CHADEMA and his reorganization.

Sasa kwa nini aliamua kuingia ulingoni in the first place? Hakuona kama kujitosa kwake kwenye kinyang'anyiro hicho kungekidhoofisha chama chake? Maybe we should also question his jugdement.....
 
Lol...what's Zitto's agenda? I don't know. He's been all over the place lately.

Any blows he would have sustained would have done him good. They would have toughened him up. That's why I don't understand why folded the way he did. It's a democracy, afterall.

When Hillary refused to drop out of the nomination race, it was a blessing in disguise for Obama. Why? Because Hillary threw everything including the kitchen sink at him, in the process toughening him up and preparing him for the Republican onslaught in the general election.

Sasa kwa nini aliamua kuingia ulingoni in the first place? Hakuona kama kujitosa kwake kwenye kinyang'anyiro hicho kungekidhoofisha chama chake? Maybe we should also question his jugdement.....

Questioning his judgement would be valid indeed, lakini lazima tuelewe kuwa realpolitik is not a natural science kusema kuwa haya maji yako six meters deep na ninaweza kuogelea au sivyo.Mara nyingine dynamics zinabadilika by the minute if not second, kwa hiyo I will cut him some slack on that.

Ttatizo langu mimi hapa naona tunaofocus kwa Zitto tuna engage in "blaming the victim".

The CHADEMA old boy network, democracy limiting machinery, should be the one to shoulder the blame, not Zitto.
 
yetu macho na masikio, maana tukisema inakuwa kelelee! any way this is politics, unaweza fanya uchambuzi kidogo juu ya vyama vya siasa Tanzania hasa baada ya mfumo wa vyama vingi na kujua historia na asili ya waasisi wa vyama tajwa. mfano UDP asili yake ni wapi na viongozi wa kitaifa lazima watoke? TLP wapi? CHADEMA wapi? huhitaji akili nyingi kuyapinga haya sana sana waweza pinga orrally lakini in reality inabaki kuwa Chadema ni chama cha wachaga
Umesahau kutaja TAA, TANU na CCM asili yake ni wapi!
Umesahau kutaja jeshi la polisi. jeshi la wananchi na magereza asili yake ni wapi!
Hii ni kwa bahati mbaya? au umefanya makusudi?
Ukabila na udini utaimaliza nchi hii🙁
 
The CHADEMA old boy network, democracy limiting machinery, should be the one to shoulder the blame, not Zitto.

Now we are getting somewhere! See, I blame both but more so CHADEMA than Zitto. I could be wrong but I think it's every member's right to vie for any position within the party (I stand corrected if I'm wrong) without any kind of pressure. Based on that Zitto had every right to run.

On the other hand Zitto needs to get it together. Does he want to go back to school or run for re-election or does he want to be the chairman of his party? He needs to be decisive. To me he has shown a lot of indecisiveness lately and I don't like that.
 
Now we are getting somewhere! See, I blame both but more so CHADEMA than Zitto. I could be wrong but I think it's every member's right to vie for any position within the party (I stand corrected if I'm wrong) without any kind of pressure.

On the other hand Zitto needs to get it together. Does he want to go back to school or run for re-election or does he want to the chairman of his party? He needs to be decisive. To me he has shown a lot of indecisiveness lately and I don't like that.

Nyani,

Tofautisha kuwa decisive na kuwa rigid.

Zitto anaweza kusema ni decisive lakini flexible na si rigid, utamkataliaje?

Flexibility is not indecisiveness.
 
Nyani,

Tofautisha kuwa decisive na kuwa rigid.

Zitto anaweza kusema ni decisive lakini flexible na si rigid, utamkataliaje?

Well, akisema yuko decisive atakuwa ana parse words kitu ambacho ni moja ya sifa za wanasiasa. Hata ni-fool mtu kama mimi kwa sababu siko shabby katika huo mchezo wa semantics na syntax.

Unapotoa kauli za kwamba hutagombea tena kiti chako cha ubunge kwa sababu unataka kurudi shule huku ukijua wewe ni mmoja wa wabunge wachache wa upinzani bungeni na kuondoka kwako hakutakuwa na guarantee kuwa nafasi yako itashikwa na mbunge wa kambi ya upinzani na baada ya watu kulalamika unabadili uamuzi wako. Baadae unajiingiza ulingoni kugombea uenyekiti wa chama chako halafu unakacha baada ya kushinikizwa. Bluray, huoni kwamba huyu jamaa akipewa shinikizo kidogo tu anakacha?

Au ngoja nikuulize hivi ingawaje wewe huenda siyo mseamaje wake. Hivi ni nini kilichomfanya abadili uamuzi wake wa kutogombea tena? Zilikuwa ni kelele za watu waliomtaka abadili uamuzi au ulikuwa ni uamuzi wake binafsi na wa dhati?

Ndio maana nasema pengine tuanze kuhoji judgement ya mheshimiwa wetu huyu....
 
Mimi always ninaheshimu mtu anayeweza ku update decisions na decision making process kutokana na new information anazopata, na huwa naona mtu aliye rigid na asiyeweza kubadili maamuzi despite kupewa info mpya zinazo suggest the contrary kuwa ni disastrous.

It is just scientific thinking, hili ni battle kama la Galileo vs Aristotle au Copernicus vs Ptolemy.

Kwa hiyo siwezi kuingia katika details za kwa nini anabadilisha uamuzi, na wala si msemaji wake (although by now if he knows whats good for him he needs to hire me, lol 🙂 ) Lakini ninachoweza kusema ni kwamba the mere fact kwamba mtu kabadili uamuzi hakinitishi kwamba huyu hafai kwa sababu ni flip flopper.

Nitakachoangalia ni kwamba, je uamuzi wa kwanza na huu mpya upi ni bora zaidi given the current state of affairs? kama mtu anatoka kwenye uamuzi mzuri na kwenda kwenye uamuzi mbaya, obviously decision making process yake ina matatizo.

Lakini kama anaimprove mambo hata kama anabadilisha uamuzi mara elfu moja kwa siku poa tu.

Ukiwa na database inayofanya trading kwenye stock exchange online based on available information (prices, availability fees etc) utataka information inazotumia iwe updated constantly au ibaki rigid?

Utaona kwamba the quality of a decision is subject to the quality of information, and if information keeps on changing, the decison needs to change to reflect the information.

So I have absolutely no qualms about the so called "flip-flopping".Labda mtu aniambie kuwa hii inasababisha move kutoka decision nzuri kwenda decisoin mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom