Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,712
Huu uzi nimetoka kuandika sio muda mkuu sio voda even halotel.Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Kwa sasa hata kupitia tigo hupati.huu uzi nimetoka kuandika sio muda mkuu sio voda even halotel
Hii inahusika VP na kufungia tweeter mkuu.
Hii inahusika VP na kufungia tweeter mkuu
Asante mkuu ngoja nijaribu. Haina mahangaisho?Pachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
Hapana ni matangazo mawili tu kazi inaisha. Ulete mrejeshoAsante mkuu ngoja nijaribu. Haina mahangaisho?
Nikiconnect hatua inayofuata ni ipi ili ni access Twiter?Pachika app ifuatayo ktk simu yako. Ifungue na ubonyeze palipo andikwa connect. Baada ya hapo rudi twitter ukale kuku kwa mrija
View attachment 1613177
MbonaWatumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.