Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Ndio hapa najarib kuload bila mafanikio. Hata halotel imegoma. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
LINE GAN UNATUMIA MKUU?
SPOILER

Screenshot_20201027_035738.jpg
 
Back
Top Bottom