Brighton Fustine Magige
Member
- Oct 7, 2020
- 19
- 13
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na ngozi nyeupe mkuu.ALIYETENGENEZA VPN nampa heshima sana maana amenifanya nakula bata wakati wa dhiki hii kuu tunayofanyiwa bila hata kujua n kwa maslahi ya nani hadi wafunge
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hii inaweza ikagoma, wadownload kutoka upanddown, apkpure apo hii kwa sasa naona inazingua.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu ningekuwepo tangu jana pengne ningesaidia wengi sema singiagi sanahumuSijui kwanini hukuwepo tangu jana mchana! NIMEFANIKIWA. Nimepata ushuhuda wa baadhi ya pic kutoka twitter!