Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Kama twitter dah [emoji23] mpaka huruma watu walikuwa maneno meeeengi kumbe hata vpn hawaja download mwisho wa siku wengi wako offline
 
Kama twitter dah [emoji23] mpaka huruma watu walikuwa maneno meeeengi kumbe hata vpn hawaja download mwisho wa siku wengi wako offline
Mbona watu bado wanaendelea kudow load na wanaaccess , tatizo Kama mtu uelewa wake mdogo kwenye hayo mambo yampasa awe mnyonge tu.
 
Mbona watu bado wanaendelea kudow load na wanaaccess , tatizo Kama mtu uelewa wake mdogo kwenye hayo mambo yampasa awe mnyonge tu.
Kipindi kile ulikuwa unakwenda tu play store simple unanyonya unatembea lakini Sasa process ndefu kidogo na ukizingatia watanzania elimu ndogo
 
Kama huna vpn unahitaji uwe na dark web ili uweze kuaccess mtando hio. Tumia Tor browser, kama huna download play store au mwombe Alie nayo akutumia kwa xenda
 
Kipindi kile ulikuwa unakwenda tu play store simple unanyonya unatembea lakini Sasa process ndefu kidogo na ukizingatia watanzania elimu ndogo
Na wengi wenye elimu ndogo ndio hao wafuasi wa coward Magufuli ambao wameshindwa kuaccess japo Facebook tu
 
Mtu anatoka nje anakuja Tanzania, hapajui anapoenda, njia nilokuwa nawasiliana nae ni kupitia whatsaap mnafunga.

Mtu anauza bidhaa nje ya nchi, lori linakarbia kufika Zambia, mzigo unakaribia kufika, mnafunga mtandao

Mtu anafanya biashara yake mtandaoni mnamfungia.

Mtu anajifunza vitu vya maana maishan mwake youtube mnafunga mtandao ghafla.

Mnaogopa nini, huwezi kufungia watu waisha yao na kuwaendesheni, watawachukia ata kama wanawapenda.
 
Unajua na jf ikifunguwa hata baadhi yao nao watakuwa gizani naona wameiacha kidogo. Ila matokeo yatakapo anza kutolewa sina hakika sanaa kama tutaonana humu huwenda mtandao ukawa down.

Watakuwa wameshindwa maana hii ndio ingekiwa ya kwanza kufungwa
 
Back
Top Bottom