Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Kama twitter dah [emoji23] mpaka huruma watu walikuwa maneno meeeengi kumbe hata vpn hawaja download mwisho wa siku wengi wako offline
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watu bado wanaendelea kudow load na wanaaccess , tatizo Kama mtu uelewa wake mdogo kwenye hayo mambo yampasa awe mnyonge tu.Kama twitter dah [emoji23] mpaka huruma watu walikuwa maneno meeeengi kumbe hata vpn hawaja download mwisho wa siku wengi wako offline
pole sana mkuu,hakikisha umepiga kura kuwatoa hawa mafedhuliAiseee Mimi cpati kabisa chochote
Kipindi kile ulikuwa unakwenda tu play store simple unanyonya unatembea lakini Sasa process ndefu kidogo na ukizingatia watanzania elimu ndogoMbona watu bado wanaendelea kudow load na wanaaccess , tatizo Kama mtu uelewa wake mdogo kwenye hayo mambo yampasa awe mnyonge tu.
Na wengi wenye elimu ndogo ndio hao wafuasi wa coward Magufuli ambao wameshindwa kuaccess japo Facebook tuKipindi kile ulikuwa unakwenda tu play store simple unanyonya unatembea lakini Sasa process ndefu kidogo na ukizingatia watanzania elimu ndogo
Ushukuriwe Sana ndugu yangu yaani umekuwa bonge la msaada kwangu
tuelekezane bas Ukifungua VPN ukifika pale kwenye malipo unafanyaje?Tumieni VPN nilikua nahangaika hapa, nikaja kukumbuka ni uchaguzi time lazima figisu zitawale.
Weka sehemu ya freetuelekezane bas Ukifungua VPN ukifika pale kwenye malipo unafanyaje?
Ustaarabu upi slio kuwa nao JK mkuu? FafanuaTunae mtawala mshamba sana hii nchi.
JK ndie raisi mstarabu kuwahi tokea bongo hii.
Vpn ndio nini?Tumieni VPN nilikua nahangaika hapa, nikaja kukumbuka ni uchaguzi time lazima figisu zitawale.
Unajua na jf ikifunguwa hata baadhi yao nao watakuwa gizani naona wameiacha kidogo. Ila matokeo yatakapo anza kutolewa sina hakika sanaa kama tutaonana humu huwenda mtandao ukawa down.
Hakuna shida mkuu tumejiongeza teyari na vpn[emoji23]
Tumieni VPN nilikua nahangaika hapa, nikaja kukumbuka ni uchaguzi time lazima figisu zitawale.