Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Leo nimejaribu kuingia twitter lakini naona ina load tuu wala haifunguki. Hili tatizo lipo kwangu tu au kwa maana kuna mtu nimeona uzi wake analalamika Youtube pia haifunguki. What's wrong?!
 
Ni nani anatuongoza sisi kutuamulia nini cha kufanya.

Mpaka sasa mitandao yote ya kijamii ishafungwa kuanzia Youtube, Whattsapp, Instagram, Telegram n.k

Sasa kwanini wanataka tusipashane habari? Kwani kuna nini wanafanya ambacho hawataki tujuzane? Na utakuta bado kuna watu wanashangilia ukandamizwaji huu wa haki na uhuru wa watu.

Leo hii tumefika hatua ya kupangiwa kila kitu sisi, hatujawahi kuwa hivi. Nina hasira sana hapa.
 
Hata Mimi the same, imegoma kabisa since saa tano. Iliniomba ni verify ila nikiomba code sipati, sijui halotel wananihujumu, sijui ni Twitter wenyew au ni kitengo ila yoyote Yule anaesababisha hali hii ni @$$h01e
 
Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Hiyo ni kazi ya kiongozi muovu,na mwendawazimu!

Picha zake zimejaa kila mahali, limeongea peke yake miaka5, limepiga watu risasi limejeruhi na kuua, linatangazwa lenyewe tu kwenye TV na maredio, lkn bado linazima mitandao na litaiba kura!

Limeanza kuua watu, na litaendelea kuua!
 
Back
Top Bottom