Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

unawashaje vpn maana nimewasha nina mtandao wa tigo lakini vpn haiwezi ku connect yani inajaribu bila mafanikio

Tumia Proton VPN simple tu, tizama michango ya wadau hapo juu ina maelekezo mazuri.Binafsi nime tumia ipo poa Mkuu.
 
Twitter inapatikana kwa voda na halotel, jaribu tena huenda muda unafungua palikuwa na shida.
 
Tanzania tumerudi nyuma miaka 60. Watu wanatumia njia haramu za kila namna ikiwemo wizi ili kung’ang’ania madaraka.
Yani nyie kila kitu ni kujadili tofauti tu, wabongo mna shida kubwa sana
Mimi natumia Vodacom na Twitter iko hewani hata sasa
 
Back
Top Bottom