Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu?
Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee haifati kabisa kumuacha huyu mtu akitumia government expenditures.
Hii ni laana kwa taifa kuendelea kuwakumbatia Hawa mafisadi waliokula wakashiba wakaanza kuwatukana wapishi.
Pia soma > RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani