Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hello Wana JF,
Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992!
Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.
Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea wenyewe hata kama yeye binafsi hazipendi.
Na mwanasiasa yeyote anaeona taratibu hizo kwake ni ngumu kufuata asigombee, siyo lazima awe kiongozi.
Nchi hii haiwezi kumfuata mtu nyumbani kwake kwa kumvuta kwa greda ikimlazimisha aje awe kiongozi.
Hivyo unapokuwa kiongozi katika nchi yetu ( ya kidemokrasia ) unapaswa kukubali KUKOSOLEWA, KUSHAURIWA na KUHESHIMU hata wanaokuzodoa.
Kama unaona yote hayo huwezi kuyavumilia, ukikosolewa unajihisi kufakufa na kuteseka - USIGOMBEE!!
Kaa nyumbani ulee wanao na wajukuu zako.
Hutaona mtu anakukosoa wala kukutafuta.