Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi: Tafadhali wale wanasiasa wote ambao hampendi, mnateseka sana mkikosolewa au mnahisi kuvunjiwa heshima mnapokosolewa, Msigombee!

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Hello Wana JF,

Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992!

Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.

Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea wenyewe hata kama yeye binafsi hazipendi.

Na mwanasiasa yeyote anaeona taratibu hizo kwake ni ngumu kufuata asigombee, siyo lazima awe kiongozi.

Nchi hii haiwezi kumfuata mtu nyumbani kwake kwa kumvuta kwa greda ikimlazimisha aje awe kiongozi.

Hivyo unapokuwa kiongozi katika nchi yetu ( ya kidemokrasia ) unapaswa kukubali KUKOSOLEWA, KUSHAURIWA na KUHESHIMU hata wanaokuzodoa.

Kama unaona yote hayo huwezi kuyavumilia, ukikosolewa unajihisi kufakufa na kuteseka - USIGOMBEE!!

Kaa nyumbani ulee wanao na wajukuu zako.

Hutaona mtu anakukosoa wala kukutafuta.
 
Kaa kwako uone kama tutakufuata ugombee. USIGOMBEE.

Tatizo tuna baadhi ya watu wanajiona kama wao ni malaika waliotumwa na Mungu kuja kuwaongoza watanzania. Wamesahau kwamba iko siku hawatakuwepo madarakani na Tanzania itaendelea kuwepo.

USIGOMBEE uone kama Tanzania haitakuwepo!!
 
Hao wasioweza kukosolewa sasa hivi wamekuja na mbinu mpya ya kukwepa ushindani au kuhojiwa, sasa wanatumia mbinu ya kupita kupingwa. Na kiongozi wa hiyo mbinu anaeleweka.
 
CCM inagenge la watu wanaojifanya wanahati miliki, kuimiliki Tanzania na watu wake.

Wanajiona wao zaidi ya Mungu, hawataki kuambiwa makosa yao wala kukosolewa.

Wanasahau sisi sote niwanyama- binadamu

Wanasahau cheo nidhamana, wamevikuta wataviacha......hakika wataviacha

Wanasahau kwamba sisi sote tutakufa kila mmoja kwa wakati wake.

Wanadhani wanahati miliki ya uhai kumbe wao pia wanakufa, hakika watakufa pia kama sisi.

Wameshindwa kuheshimu utu na sifa za uumbaji wa Mungu. Wanaroho mbaya, dhalimu, chuki na husda.

Wanapaswa kuheshimu watu wengine maana nawao wataachia madaraka tu .....muda nimwalimu mzuri sana.
 
Hello Wana JF,

Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992 !

Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.

Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea wenyewe hata kama yeye binafsi hazipendi.

Na mwanasiasa yeyote anaeona taratibu hizo kwake ni ngumu kufuata asigombee, siyo lazima awe kiongozi.

Nchi hii haiwezi kumfuata mtu nyumbani kwake kwa kumvuta kwa greda ikimlazimisha aje awe kiongozi.

Hivyo unapokuwa kiongozi katika nchi yetu ( ya kidemokrasia ) unapaswa kukubali KUKOSOLEWA, KUSHAURIWA na KUHESHIMU hata wanaokuzodoa.

Kama unaona yote hayo huwezi kuyavumilia, ukikosolewa unajihisi kufakufa na kuteseka - USIGOMBEE !!

Kaa nyumbani ulee wanao na wajukuu zako.

Hutaona mtu anakukosoa wala kukutafuta.
Naona unamfukuzia mbali Magu
 
Salute kwako mkaruka,kwani amelezimishwa kugombea?.
Tanzania aliikuta na ataiacha.
Mtu analalamika kuwa kazi ya kuongoza Ni ngumu,basi acha ukalime viazi uone wapi Ni pagumu.

Najua hawezi acha hata mkisemaje.
 
Hello Wana JF,

Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992!

Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.

Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea wenyewe hata kama yeye binafsi hazipendi.

Na mwanasiasa yeyote anaeona taratibu hizo kwake ni ngumu kufuata asigombee, siyo lazima awe kiongozi.

Nchi hii haiwezi kumfuata mtu nyumbani kwake kwa kumvuta kwa greda ikimlazimisha aje awe kiongozi.

Hivyo unapokuwa kiongozi katika nchi yetu ( ya kidemokrasia ) unapaswa kukubali KUKOSOLEWA, KUSHAURIWA na KUHESHIMU hata wanaokuzodoa.

Kama unaona yote hayo huwezi kuyavumilia, ukikosolewa unajihisi kufakufa na kuteseka - USIGOMBEE!!

Kaa nyumbani ulee wanao na wajukuu zako.

Hutaona mtu anakukosoa wala kukutafuta.
Ukiona mtu ujiita msomi kisha ataki kukosolewa uleta shaka juu ya usomi wake,mtu aliyesoma huwa aogopi giza
 
CCM inagenge la watu wanaojifanya wanahati miliki, kuimiliki Tanzania na watu wake.

Wanajiona wao zaidi ya Mungu, hawataki kuambiwa makosa yao wala kukosolewa.

Wanasahau sisi sote niwanyama- binadamu

Wanasahau cheo nidhamana, wamevikuta wataviacha......hakika wataviacha

Wanasahau kwamba sisi sote tutakufa kila mmoja kwa wakati wake.

Wanadhani wanahati miliki ya uhai kumbe wao pia wanakufa, hakika watakufa pia kama sisi.

Wameshindwa kuheshimu utu na sifa za uumbaji wa Mungu. Wanaroho mbaya, dhalimu, chuki na husda.

Wanapaswa kuheshimu watu wengine maana nawao wataachia madaraka tu .....muda nimwalimu mzuri sana.
Kuyaelewa haya ni lzm uwe umeelimika
 
Kaa kwako uone kama tutakufuata ugombee. USIGOMBEE.

Tatizo tuna baadhi ya watu wanajiona kama wao ni malaika waliotumwa na Mungu kuja kuwaongoza watanzania. Wamesahau kwamba iko siku hawatakuwepo madarakani na Tanzania itaendelea kuwepo.

USIGOMBEE uone kama Tanzania haitakuwepo!!
Wamepita wengi walikuwepo kina sokoine na mbwembwe zao wakaishia kuukimbiza upepo wakapita,mwanadamu hawezi shindana mbio na basi
 
Epukeni Matatizo yanayoepukika
 
Back
Top Bottom