Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
- Thread starter
- #121
Tabia za kizungu ndio zikoje hizo? Toa mifano ndio nitakupa jibu la uhakika
Unless unawazungumzia akina dada wanaojichubua ili wawe weupe kama wazungu na kuchoma nywele zao ili zinyooke kama za wazungu....
Inasemekana baadhi ya tabia za kizungu ni:
1. Kujali kazi kuliko utu
2. Kujali muda kuliko watu
3. Kujali faida kuliko ndugu
4. Kujali upekee kuliko udugu
5. Kujali umimi kuliko ubinadamu