Tabia za kizungu ndio zikoje hizo? Toa mifano ndio nitakupa jibu la uhakika
Unless unawazungumzia akina dada wanaojichubua ili wawe weupe kama wazungu na kuchoma nywele zao ili zinyooke kama za wazungu....
Inasemekana baadhi ya tabia za kizungu ni:
1. Kujali kazi kuliko utu
2. Kujali muda kuliko watu
3. Kujali faida kuliko ndugu
4. Kujali upekee kuliko udugu
5. Kujali umimi kuliko ubinadamu
Jamani hizi historia mnafundishwa na nani?
Kuhusu mababu/mabibi zetu kuwa na elimu mpaka ya vyuo vikuu kabla ya ukoloni Nyani nimeshakupa hii rejea: A Historical Accounting of African Universities: Beyond Afropessimism | The Zeleza Post
Kuhusu utumwa Zakumi yaani tafiti zote za kina Prof. Abdul Sherrif na Walter Rodney bado hazitoshi kukuonesha kuna aina mbalimbali za utumwa na huo wa Bahari za Atlantiki na Hindi katika karne ya Ubepari wa Uchuuzi ulitumia mabavu (kuwachukua vijana wetu rijali na wenye nguvu ibura) zaidi ya ushirikiano na hao machifu?
Kha hivi kumbe ni kweli tatizo letu kuu ni kuwa hatujijui!
Hiyo ndio moja ya hoja kuu za Malima Bundara, kitabu chake kina mapicha kibao ya kuonesha kuwa pale ambapo kuna wazungu hapa Afrika ndio pako vizuri - naona unakubaliana naye kabisa kuwa hao ndio gundi ya maendeleo. Kama ni hivyo si tuwaite tu watutawale - tena Frantz Fanon alisema hakuna haja ya kuwaiga maana kama tunataka kuwa kama wao basi wao ndio vinara kwa kuwa wao hivyo tuwaite tu wafanya vyao!
"Emancipate yourself from mental slavery" - Robert Nesta (Bob) Marley
Socialism has no proven record other than resulting in the formation of draconian state.. The best thing is probably a unified model.. Each end of the spectrum carries the grave risk of falling off.. 1989..(Communism)..2009 (Capitalism) Both R.I.P
That is not true NN. Evolutionist wanaamini kua🙁nilisoma 7 years ago 1st year uni kwaio details sikumbuki vizuri ila natatafuta niziweke hapa, but in brief....)Kisingizio kinachotolewa na hao watu wanaonunua hiyo nadharia ya evolution ni kwamba eti inachukua miaka mamilioni kwa manyani kubadilika ndio maana inakuwa vigumu kwetu sisi binadamu kushuhudia mabadiliko hayo.
I don't buy that evolution crap! Na kujibu swali lako, ndio nyani ni nyani tu hata umpake wanja!
Nani anaweza kunitajia counterparts wa Kiafrika wa Johannes Kepler, Galileo Galilei, Archimedes, Charles Darwin, Alfred Noble, Louis Pasteur, Alexander Fleming, Isaac Newton, Stephen Hawking, Albert Einstein, Thomas Edison....
Wazungu ni gundi ya taifa kule Sauzi (period). Katika dhana ya maendeleo domination ya ethinicity yenye uwezo wa ku-set agenda za kuleta maendeleo ni kitu muhimu.
Ukienda uingereza kuna waingereza. Ukienda Ujerumani kuna wajerumani. Ukienda Korea kuna wakorea. Ukienda Nigeria N/A, ukienda Tanzania N/A.
Fikra-jamii ambayo DK Bundala anaitafuta hiko kwenye ethnic group ambayo inaweza ku-dominate agendas. Huwezi kuwa na vikabila vilivyokuwa fragmented na kutegemea moja linyanyuke na kuset agenda. Watakachofanya ni kugombea mgao wa mapato.
That is not true NN. Evolutionist wanaamini kua🙁nilisoma 7 years ago 1st year uni kwaio details sikumbuki vizuri ila natatafuta niziweke hapa, but in brief....)
1.We all came from this massive blob eons of years ago
2. As time passed different organisms evolved from this blob (imagine branches from a tree)
3. on this certain branch ndio primates wakatokea
4 Then inagawanyika zaidi kuwa sub branches zingine ambazo hapo kuna primates wanao evolve kua binadamu na kuna primates wengine wanabaki kua nyani with minimum evolving
Kwahio sio kweli kwamba wanaamini nyani wasasa hivi hatuwaoni wakibadilika kwasababu it takes millions of years. HAPANA! Hio chain wa nyani tuwaonao sasa ni tofauti na ya kwetu lakini ili branch off kwa source moja. Ina evolve in other ways kama sisi tunavyo evolve inother ways and at different speeds.
Now where are my biology notes....!
Kwa hiyo Waafrika ni chain mojawapo iliyobranch off na ni tofauti na Wazungu ambao ni chain nyingine iliyobranch off kivyake? Au sisi Waafrika tunaevolve kuelekea kuwa wazungu na watu kama Ngabu wameshakuwa Evolue? Sasa hizi nadharia za evolution zinasaidiaje kuelezea madai kuwa Jamii za Kiafrika zina asili ya Ujamaa na za Kijamaa zina asili ya Kibepari?
mp
Tuanze nyumbani:Erasto Mpemba, Kinjekitile Ngwale na Ndugu Companero
Kisha kwingine:Multicultural Resource Center: African-American Inventors
Wewe huiingizi hata kidole cha mguu kwa hao magwiji niliowataja. Kama unadhani una belong kwenye league moja na wao endelea kujidanganya tu ila ujue ndio moja ya dalili za kudata hizo...Lol. Halafu Erasto who? Na Kinjekitile my where the sun don't shine!
African Americans wengi sana wamechanganya damu kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana baadhi ya hao inventors kurithi genes za ubunifu kutoka wa wazungu.
Unatumia vigezo gani?
unaamini nini?