Hahaha, Mkuu hebu funguka kidogo basi. SAVIMBI alikua ana - "CLICK" huyo mdada anayejiita WAKUDADAVUA, sivyo?Ha haha! Wapi Wakudadavuwa ? Enzi hizo hasikii wala haoni, chuma kinapiga gwanda. Hapo alisahau tuu baret toka China.
Kangi LugolaMWIBALA.......???????????????????????
View attachment 1313828
Those were the days
Hapo Ukonga mzee baba kunywa beer. Achana na mambo ya ubunge.UKONGA
FIELD MARSHAL PAUL MAKONDA....Twendeni nae
K vant
Huyo Mbunge hajafika maguu,langiro ,mkoha,Kipapa, kihongo,mikalanga na vijiji vingine.Ila mkitaka ukombozi wa kweli juu ya matatizo yenu chagueni wapinzani. Ccm wote akili zao zinafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za CCM hizo hakuna mbunge hapo,
Chagueni CHADEMA kitaeleweka.
Ndio nafahamu ni rafiki mkubwa wa Hapi lakini sifa ya usaliti umewapa wewe, sijui kwa dhumuni gan ulilonalo kwa ndugu hawaKundi moja na Ally Hapi.. Vijana hawa ni wasaliti waliopitiliza..