Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Ha haha! Wapi Wakudadavuwa ? Enzi hizo hasikii wala haoni, chuma kinapiga gwanda. Hapo alisahau tuu baret toka China.
Hahaha, Mkuu hebu funguka kidogo basi. SAVIMBI alikua ana - "CLICK" huyo mdada anayejiita WAKUDADAVUA, sivyo?
 
Masahihisho; Mh. Mwakipesile alitoka 2000 na sio 1995 . Hata hivyo hoja yako mkuu ina mashiko ,,,,tunahitaji mabadiriko jimboni kwetu tupate viongozi vijana ambao wanaweza kuibadirisha sura ya kyela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo ni ofisi za Halmashauri kasulu enzi hizo huyo wa kulia akiwa bado DC buhigwe ambae kwa sasa ashakua Brigedia na ni RC Kagera wakuitwa Marco Gaguti na Huyo black ni kanal Mkisi nadhani alikua DC kasulu na sasa alirudi makao makuu jeshini bado ni kanali na Mwigulu wakati huo alikua waziri wa mambo ya ndani hapo alikua kwenye ziara za mfululizo kila Wilaya yeye ziara zote alikua anajipanga na uchaguzi wa uraisi na sio kazi tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo Mbunge hajafika maguu,langiro ,mkoha,Kipapa, kihongo,mikalanga na vijiji vingine.Ila mkitaka ukombozi wa kweli juu ya matatizo yenu chagueni wapinzani. Ccm wote akili zao zinafanana
 
Same Magharibi
Waziri mzigo wazamani (Dkt Davido) vs mchepuko wa mzee Meko (waziri)
 
Kwa maneno yako tu flow ya sentensi nimeshakutambua. Acha spinning wewe!
 
Nyangwale geita tunataka mtubadilishie mbunge Hussein kassu gulamali hafai kazi kujilimbikizia migodi ya dhahabu na kununua mlima unaosadikiwa una dhahabu maendeleo hakuna hakuna maji ya bomba hakuna barabara hata moja nzuri wilaya imechoka badala ya kuomba barabara ya lami kutoka wilaya nyangwale mpaka kahama km 70 tu ili mji ukue kibiashara na kukuza maendeleo lakini yeye anaona maendeleo ni kujenga majumba dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi moja na Ally Hapi.. Vijana hawa ni wasaliti waliopitiliza..
 
Back
Top Bottom