Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Hahaha, Mkuu hebu funguka kidogo basi. SAVIMBI alikua ana - "CLICK" huyo mdada anayejiita WAKUDADAVUA, sivyo?Ha haha! Wapi Wakudadavuwa ? Enzi hizo hasikii wala haoni, chuma kinapiga gwanda. Hapo alisahau tuu baret toka China.