Kwa kifupi huyu lofa ameshasoma alama za nyakati hasa Kwa upande wa huku dar asingepitishwa ndiyo maana amekimbilia kwao....huyu ndiye mbunge wa Kwanza kuanza kutapatapa mapema,dalili za kushindwa zimeshaanza
Yaani amng'oe Heche?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata angeenda kugombea akiwa Waziri full na awe RPC at the same time awe msimamizi wa uchaguzi hapo atachemka
Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu atagombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini. Ameongeza anatamani CHADEMA kimpitishe JOHN HECHE kugombea Jimbo hilo.
Nauona Mwisho wa Heche katika siasa za Tanzania ikumbukwe katika siku za hivi Kari uni alishindwa na ESTER MATIKO katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Serengeti.
Akumbuke akisikika tarime vijijini asijue ni kijijini kweli huko ndio wakurya wakorofi hupatikana kuna maeneo mawili magumu sirari na nyamongo aisee izo sehemu ndio koo za kikurya korofi huishi huko sasa ni bora angeenda hata tarime mjini