kukosekana kwa kiongozi msomi Wa kiwango cha daktari mbeya mjini kwa muongo mmoja sasa kumeifanya kudorora kiuchumi na kimaendeleo, hivyo wanaMbeya tunasema Tulia anatosha
Ujinga wa kiwango cha juu kabisa huu!! Maendeleo hayaletwi na mbunge. Period!! Niambie ni sehemu gani ya nchi uchumi wake haujadorora kwa sababu ya kuwa na mbunge wa elimu kiwango cha daktari? Kwa Dr. Mwakyembe? Dr. Mwigulu? Dr. Maghembe? Dr. Nagu?