Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

kukosekana kwa kiongozi msomi Wa kiwango cha daktari mbeya mjini kwa muongo mmoja sasa kumeifanya kudorora kiuchumi na kimaendeleo, hivyo wanaMbeya tunasema Tulia anatosha

Ujinga wa kiwango cha juu kabisa huu!! Maendeleo hayaletwi na mbunge. Period!! Niambie ni sehemu gani ya nchi uchumi wake haujadorora kwa sababu ya kuwa na mbunge wa elimu kiwango cha daktari? Kwa Dr. Mwakyembe? Dr. Mwigulu? Dr. Maghembe? Dr. Nagu?
 
Huyo musa ntimizi apigwe chini aje mfuta kamba!!Ntimizi anabebwa na Uchawi wa mama yake Tatu ntimizi na zile mia tano mia tano anazogawa hapa kijiweni LOYA!!!Aliuza nyumba Dar ili apate hela za kuhonga!huyo piga chini hafai!hakuna jipya alilofanya hapa jimboni igalula zaidi ya fitina kibao!!!
 
Sasa Tulia mnamfanya kama changudoa vile! Kila mahali mahali mnapifa kelele njoo utupe njoo utupe! Mara Mbeya, mara Kyela kwa nini? Au ndio tabia yake kukosa utulivu?
 
Wanajamvi,

Habari za humu ndani maana ni muda mrefu hatujaingia hapa jamvini Kutokana na mizunguko ya hapa na pale kwa ajili ya kutafuta chakula cha watoto na ada zao maana muda wenyewe ndio huu wa sisi wazazi kutimiza wajibu mkubwa ndani ya mwaka mzima.

Turudi kwenye topic yetu, katika mapumziko yangu nilienda kidogo kusalimia wazazi kijijini huko Kiwira Rungwe na kuwajuliana hari majirani na ndugu wengine.

Sasa wengine mara nyingi siasa zimetukaa mioyoni mwetu nikaamua kupeleleza kuhusu suala la maendeleo ya jimbo letu na uongozi uliopo baada ya hapo ndio nikayasikia mengi kuhusu huyo mtu niliyemtaja kwenye heading.

Kwa bahati nzuri au mbaya ni mtu ninaemfahamu vizuri kabisa ingawa tulipotezana katika harakati za masomo huku na huku lakini sifa zake kwenye masuala ya kisiasa la hasha nazifahamu vizuri toka akiwa mdogo mpaka kufikia hatua hii ya uongozi anaouhitaji.

Ikanibidi niwaulize baadhi ya watu ambao wananihadithia mengi kuhusu huyu mtu maana ilinibidi nijifanye simfahamu kabisa ili niweze kujua sifa zake tofauti na nilizosikia sehemu mbalimbali alizopita katika uongozi wake la hasha wale wananchi wa chini kabisa walinishangaza mpaka nikasema huyu bwana kafikia level ya kupendwa na watu wake namna hii.

Ingawa Ikanibidi niitafute namba yake ili nimpe pongezi na kumuhimiza asiwaangushe wananchi wanaomuhitaji maana naona wamechoka kudanganywa kila siku wanahitaji mtu sahihi kwao na chaguo lao ni wewe, ingawa namba nilizopewa hupatikani nikaamua nikauandikie huku kwa kujua lazima upo hapa jukwaani maana hakuna mwanasiasa kijana kama wewe usiwepo sehemu kubwa na jukwaa huru kama hili.

Tafadhali ukiona bandiko hili tuwasiliane nikujuze mengi namba yangu naiweka hapo chini.

UTUKUFU MWANJISI
No, 0713132109
Email: utukufuclement@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unatembea na mikoba ya bulaya basi mpelekee taarifa kuwa 2020 atafute kwaya ya kuimbia ,ubunge umefika mwisho licha ya Uzi huu wa uongo na kusadikika

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia basi kwa kusema unaishi Bunda! Maana wewe kila mahali upo nadhani utakuwa jini Maimuna ?
 
Kitendo chako cha kujitangaza kabla ya utaratibu Wa vikao kufuatwa linatafsiriwa kuanza kampeni kabla ya wakati. Naamini ulikuwa na nia nzuri ya kuwa mbunge lakini kosa kubwa ulilofanya ni kuanza kampeni kabla
 
Wakili Msomi Mwangomango, mwana maendeleo wa kweli, kijana mchapakazi, msomi, mtu mwenye misimamo, hakika wana Rungwe watakuwa wamepata mwakilishi wa kweli.

Nitumie MB zangu kumshauri afikirie kuchukua fomu kama bado hajafikiria, wakati ni sasa.

Naiona Rungwe mpya
 
Kitendo chako cha kujitangaza kabla ya utaratibu Wa vikao kufuatwa linatafsiriwa kuanza kampeni kabla ya wakati. Naamini ulikuwa na nia nzuri ya kuwa mbunge lakini kosa kubwa ulilofanya ni kuanza kampeni kabla
Kwa hiyo mimi ndio Goodluck Mwangomango si ndio? Mimi nimemfikishia ujumbe nilioukuta kule kwamba wananchi wanamuhitaji aende akawakomboe

haraf kila mtu ana maoni yake na mitazamo yake tusitake kuamuliana nin cha kuandika au kufwatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakili Msomi Mwangomango, mwana maendeleo wa kweli, kijana mchapakazi, msomi, mtu mwenye misimamo, hakika wana Rungwe watakuwa wamepata mwakilishi wa kweli.

Nitumie MB zangu kumshauri afikirie kuchukua fomu kama bado hajafikiria, wakati ni sasa.

Naiona Rungwe mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana huyu bwana unamfahamu vizuri mkuu, mwambie nina shida nae nimfikishie ujumbe wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia ni 'heavy artillery' anakua 'deployed' sehemu yenye upinzani mkali
 
Back
Top Bottom