Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Kizazi hiki ni wachunguzi and wanafuatilia every tiny details, huyu si ndie aliyetumwa na bwamkubwa kugombea uraisi TLS?

Kama ndiye then wananchi watajua kuwa atachaguliwa na bwamkubwa na kutakuwa hamna uchaguzi, kama kilichotokea kwenye chaguzi za Serikali za mitaa ambapo mtu mmoja tuu ndie alipiga kura nchi nzima,Bwamkubwa na wana nchi woote waligeuzwa mataahila!
 
NAMI NALETA TETESI ZANGU KWA JIMBO LA GAIRO ndani ya wilaya ya GAIRO

1.Ahmed shabiby mbunge wa sasa
2. Siriel mchembe Mkuu wa wilaya
3.Willfredy Watambile
4.Joely mmasa
5.Sehewa chiduo
6.Ruben Mwegoha
7.
8.

kama kuna tetes nyingine nita update
 
Kizazi hiki ni wachunguzi and wanafuatilia every tiny details, huyu si ndie aliyetumwa na bwamkubwa kugombea uraisi TLS?

Kama ndiye then wananchi watajua kuwa atachaguliwa na bwamkubwa na kutakuwa hamna uchaguzi, kama kilichotokea kwenye chaguzi za Serikali za mitaa ambapo mtu mmoja tuu ndie alipiga kura nchi nzima,Bwamkubwa na wana nchi woote waligeuzwa mataahila!
Katika historia yake ya kisiasa hilo sikuambiwa bali niliambiwa tu kuwa alikuwa;

HP olevel
Spika wa bunge UDSM
Rais wa Law School of Tanzania intake 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utukufu Mwanjisi ndiye Good luck Mwangomango. Usituchoshe kutujazia maandishi hapa kujifanya ni watu 2. Na kikubwa unajiharibia kuandika humu. Kama unataka kugombea ubunge wa Rungwe subiri ratiba ya CCM. Ila hujawiva kwa kutumia njia hii ya kufungua IDs mbili na kujifanya Mwanjisi na Mwangomango ni watu 2 tofauti.
 
Mimi nimeleta maoni ya wananchi wa jimbo ninalotoka kuwa wanamtaka bwana Mwangomango sasa kumshutumu yule bwana kwamba anatumia jina langu unakosea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeleta maoni ya wananchi wa jimbo ninalotoka kuwa wanamtaka bwana Mwangomango sasa kumshutumu yule bwana kwamba anatumia jina langu unakosea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfuate Goodluck Mwangomango kamuambie nyumbani kwake, acha kupoteza muda wa Great thinkers. Eti wananchi, wananchi gani wakati umelete maoni ya familia yako?
 
Rungwe magharibi;Sauli Amoni MB, Goodluck Mwangomango na Richard Kasesela

katika mbio Goodluck Mwangomango inaonekana ana mbio kuwazidi wengine

Lakin ngoja muda ufike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzururaji, Shabiby anakatwa, anapewa huyo mkuu wa wilaya. Baada ya hapo shabiby anapewa kesi ya uhujumu uchumi. Stay tuned.
Zile salam kutoka magogoni kuwa simu zake za kutongoza mkuu wa wilaya wanazo nadhani alizipata..kwenye kamati ataambiwa hana maadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfuate Goodluck Mwangomango kamuambie nyumbani kwake, acha kupoteza muda wa Great thinkers. Eti wananchi, wananchi gani wakati umelete maoni ya familia yako?
Nimeweka namba yangu hapo juu ili akiona uzi huu nimpe salamu zake maana namba ya simu waliyonipa simpati mkuu.

kwa hiyo kwake siwez kumfikia bila kumpata hewani na kumuomba appointment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freed Freed,
Hao wakuu wa mikoa waambie mimi na Magufuli huwa hatupendi ujinga watakosa vyote! Wakamwulize Mwananzila tulichomfanyia,, tulishampoteza kwenye siasa!
 
Mbona mnafanana sura?.nduguye ama Campaign Manager?.lol
 
Back
Top Bottom