Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Hakuna Jimbo la Rungwe Magharibi wala Mashariki kwa sasa. Kuna majimbo ya Rungwe na Busokelo.
Safi kwa marekebisho mkuu nadhan rungwe mashariki ndio ilibadilishwa na kuwa busokelo tatizo wengine hatujaja nyumbani muda mrefu na siku tumekuja na kufanya research zenu ndio kujua huyu bwana Goodluck Mwangomango anahitajika sana na wana rungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mhandisi anaitwa nani? ni vizuri tu atajwe hapa na hata kuendelea kuwachambua hawa waonesha nia sio mbaya sana. Kwa mfano Mwigulu Vs Kitila Mkumbo vipi?
au Mwigulu Vs Juma Kilimba - hapo vipi?
Huyu atakuwa ni Eng Jumbe Katala wa AfDB. Kijana wa makamo lakini machachari
 
Habarini Wanajukwaa,

Mbunge wa Mbinga Vijijini Ndung Martin Msuha kwasasa yupo katika hatari kubwa ya kupoteza jimbo hilo la Mbinga vijijini, Mnyetishaji aliepo Mbinga vijijini ameeleza kuwa Tangu aingie ndugu msuha hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kwenda bungeni na kupumzika hata pale baadhi ya wanambinga walipomfuata huko kuomba msaada wa mambo ya kitendaji jimboni amekuaa akiwajibu kwa dharau sana, ni hivi mwaka jana tu ndugu msuba alialikwa kwenfa kuchangia hospital ya mikalanga aliishia kuahidi(na sio kutoa)/50,000(Elfu Hamsini), hii ni hatari hasa kwa kiongozi kama yeye alieaminiwa na wananchi kushindwa saidia hospitali iliyowasaidia na inayowasaidia watu wengi w bonde la agati..

Sasa mbunge amekumbuka shuka pakiwa pamekucha hali yake ya kiuongozi ni mbaya na anahofu ya kutorudi tena.

Zaidi ya hayo ndugu Dr.John Ndunguru anazungumziwa sana na watu waliowengi kuwa mrithi wa jimbo hilo ila zaidi kuna vijana wengi wasomi wakimatengo wanatafsirika sana na wanazungumzwa sana midomoni mwa wanambinga kijijini wengi na wanashawishiwa sana warudi wasaidie kupush baadhi ya mambo kwa imani kuwa vijana ndo taifa la sasa na la baadae..Kijana mapunda aliepo bodi ya mikopo, kijana Ndunguru(mkulima), kijana Ndunguru( huyu mwanaharakati wa muda mrefu chuo kikuu cha Dar es salaam), Kijana Kapinga(mwalimu), Meneja wa kiwanda cha kahawa hapo.Mbinga..

Hali imekuwa ngumu sana hapo jimboni, vijana hao wanasikika na kusemwa semwa midomobi mwa wanambinga walio wengi lakini mwisho wao ndio wenye maamuzi ya kuwasaliti ndugu zao au kwenda kuwakomboa ndugu zao.

Yetu Macho!!! Vita vya panzi ziumiazo Nyasi.

Mwisho Tunataka wajasiri na wapambanaji Mbinga watakaoweza vusha Mbinga yetu toka ilipo kwenda sehemu nyingine.
 
Duuh
Saiz watu wanaleta nyuzi wakipitia milango ya nyuma kuonyesha wananchi wanahitaji mgombea fulani, kumbe wanajipigia kampeni wenyewe, wengine wanapigia kampeni watu wao


Lkn si mlimsikia mtukufu wenu? Mwaka huu toaneni hata roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kyela CHADEMA:
Charles Mbasa
George Mwakalinga
Mwaipopo Gogodo
Nathan Bablon
Abraham Mwanyamaki

Yyt hapo akishinda kura za maoni na kama CCM itampitisha Dr Mwakyembe wanampiga saa 2 asubuhi
 
Muda wote yupo mitaa ya kwa msuguri karibu na shule yake kunabar inaitwa top city analewa hadi anajikojolea ,yule mzee hamna mtu mle ni kama wanachadema kina kubenea,komu na mnyika wanalala bara tu

USSR
 
Duuh
Saiz watu wanaleta nyuzi wakipitia milango ya nyuma kuonyesha wananchi wanahitaji mgombea fulani, kumbe wanajipigia kampeni wenyewe, wengine wanapigia kampeni watu wao


Lkn si mlimsikia mtukufu wenu? Mwaka huu toaneni hata roho

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh msuha ni mwanaccm mwenzangu ila kichwa maji kama kubenea na mnyika

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom